biashara na uchumi

  1. TECNO Tanzania

    Zijue special programs zinazopatikana kwenye toleo la camon 19 tu

    UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19 Phone Cloner Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake...
  2. MAMESHO

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kupanga kiwango cha kodi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
  3. Alley67

    SoC02 Tabia zetu hutufanya tuwe tulivyo kiuchumi

    Saikolojia inasema ukifanya kitu kila siku kwa siku 21 kitu hicho hugeuka na kuwa tabia, hivi Ulishawahi kujiuliza kwanin nafanya kitu au biashara kama anavyofanya mwingine lakini sifanikiwi, au mbona mimi lakini sio fulani kiufupi binadamu tumeumbwa kujifananisha na kujilinganisha na wengine...
  4. I

    SoC02 Biashara na uchumi

    BIASHARA Biashara ni nini? Biashara ni makubaliano ambayo hufanyika bayana ya pande kuu mbili, muuzaji na mnunuzi, amabapo makubaliano hayo hufanyika juu ya bidhaa au huduma anayo itoa muuzaji. Makubaliano hayo pia hujumuisha thamani ya bidhaa au huduma hiyo. Au Biashara ni kitendo cha kuuza...
  5. Bwana Mpanzi

    Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  6. OLS

    Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  7. L

    Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  8. masopakyindi

    Rais Samia: Don't rock the boat. Biashara na uchumi vitayumba

    Kwanza nina declare position, Mimi ni mwana CCM. Tena ni mfanya biashara. Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia. Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo. Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni. Nilipata ahueni sana...
  9. B

    Wasomi wenye PhD Tanzania wametupa supplimentary ya Biashara na uchumi: soon Taifa litadisco

    Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi. Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa...
  10. G

    Naomba mnijulishe bei ya iliki iliyopo sokoni kwa sasa kwa maeneo mliopo

    Habari ndugu.!! Mwenye kuelewa bei ya iliki sokon kwa sasa inaendaje (nijuze bei ya sokoni kwa sasa pamoja na mkoa husika uliopo)
  11. Saboso jr

    Fahamu Umuhimu wa kutangaza Biashara yako

    Na saboso JR Kampuni nyingi za kibiashara, wajasiriamali na wafanyabiashara kwa kawaida wamejaribu kufungua biashara zao na kuwekeza kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora ya utoaji huduma na bidhaa kwa kiwango cha juu, kuajiri wa wafanyakazi wengi na kuwapatia mishahara...
  12. D

    Changamoto na vikwazo kwenye kuanzisha Affiliate Marketing

    Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing? Nakaribisha wadau mchangie mada. N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo.
  13. H

    Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
  14. Danp36

    Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
  15. S

    Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

    Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru! Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China) Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
  16. bahati93

    Sababu zinazopelekea kondakta kuruka wakati anakusanya nauli

    Habari wanajamii wenzangu. Kama kichwa kinavyojieleza nimepanga kuongelea juu ya dalili za kuangalia kwa kondata pale unapokua abira ndani ya daladala zetu ili kuzuia kitendo cha konda kukuruka akiwa anakusanya nauli hivyo kupelekea konda kukosa mapato anayostahili. Kwanza kabla sijaingia...
  17. kigogo1ivi

    iraisers ni kina nani? Sio matapeli kweli?

    Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu. Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau...
  18. Danielkiparaela

    Ela Lishe karibu Unga wa lishe uliobora kabisa una Tumiwa na watu wa jinsia zote na umri wote kwa mahitaj wasiliana piga 0712483713 au 0785879937

    ELA Lishe ni unga wa lishe wenye Afya kwa yeyote Faida yake 1)umpatia mtu Nguvu Kwa wale wanaofanya kazi ngumu au wasiojisikia kula hii *Chakula tosha 2) Uimarisha Mfumo wa Akili na Uti wa Mgongo wa mtu mzima na mtoto 3) Ni kifungua kinywa kwa Hasubuhi pia 4)Kulikuwa na malalamiko kwa wazazi...
Back
Top Bottom