Uchumi imara hujengwa na wananchi wenye afya imara

Hamduni

Senior Member
Apr 25, 2020
155
108
UCHUMI IMARA HUJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA IMARA.

Na Konakuze Bodi 0759754034

mswaada wa bima ya Afya kwa wote ni sera ambayo inalenga kuijenga, kuisuka, kuimarisha sekta ya Afya na kuwakomboa watanzania kuiuchumi kutokana na uondoaji wa
msululu na Utitili wa gharama kubwa kwa wananchi wanazotumia kupata huduma ya Afya.

Bima ya Afya kwa wote itarahisisha wananchi kupata huduma yenye uhakika kwa unafuu haraka na yenye Ubora zaidi

Hivyo sisi kama wananchi wa Tanzania tunauona mswada huu wa bima ya Afya kwa wote kama mwarobaini na mkombozi wa sekta ya Afya kwa Watanzania na njia Rahisi ya wananchi kujenga Uchumi wakiwa na Afya Imara

#KaziIendelee
 
Bima Ni nzuri.. lakini inaweza kugeuka Kodi ya kichwa ya enzi za ukoloni..najiuliza Kama Kila familia itaweza kulipa laki 3(ninavyosikia)
 
Back
Top Bottom