mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naomba elimu kuhusu Soko la Madaktari wa Mifugo (BVM) nataka kutuma maombi

    Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
  2. B

    CRDB Insurance na ACRE Africa Washirikiana Kuboresha Bima ya Mifugo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla ya kusaini makubaliano ya kutoa huduma ya bima ya kilimo na mifugo, ambapo kwa kuanzia watanaanza na bima ya mifugo kwa...
  3. IBRA wa PILI

    Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  4. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi aitaka Wizara ya Mifugo kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM),Profesa Patrick Ndakidemi ,ameitaka wizara ya Mifugo na uvuvi kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi ili kuweza kusimamia sekta hiyo kwa ufanisi zaidi. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi kwenye bajeti ya wizara ya Mifugo na...
  5. Roving Journalist

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutumia Tsh. 460,333,602,000 kwa mwaka 2024/25

    Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25 Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000 Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21 ➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84 ➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36 Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11 ➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07 ➼ Misaada -...
  6. chiembe

    Lissu haamini katika taasisi, hata chadema haiamini, anataka kwenda peke yake aongoze taifa kama mifugo yake. TAL ni JPM aliyefungwa pollonium

    Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake...
  7. S

    SoC04 Tanzania itumie takwimu za mifugo kudhibiti mafuriko

    Nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania zimeingia kwenye historia ya kukumbana na athari mbaya za mafuriko ambazo hazijawahi kushuhudiwa kwa miongo mingi iliyopita. 2023 hadi 2024 baadhi za nchi za Afrika hususani kusini mwa jangwa la sahara zimepoteza mamia ya watu, makazi, mifugo na miundombinu...
  8. R

    Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  9. M

    Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm au email; godfreycyp@yahoo.com
  10. A

    KERO Urasimu Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Mimi ni mfanya biashara ya chakula cha mifugo kama pumba na mashudu. Ukinunua mashudu au pumba,ili kusafirisha kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inatakiwa kuwa na kibali ambacho kinatolewa na wizara kwa kuomba kwenye mfumo wa Mifugo Integrated Management Information System(mimis) ambao ulikua...
  11. Dr Matola PhD

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife. Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
  12. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa Mbaroni kwa wizi wa Mifugo na Utoroshaji

    Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo STPU Kimesema Kinawashikilia watuhumiwa kadhaa kwa tuhuma za wizi wa mifugo na utoroshaji Mifugo nje ya nchi huku likisema kuwa litaendelea kushirikiana na wananchi kwa karibu ili kudhibiti uhalifu huo hapa nchini. Akitoa taarifa hiyo leo Machi...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa, Eneo la Bismarck Rock Mwanza, leo Januari 30, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya siku moja. https://www.youtube.com/live/PbiNMKoRTzU?si=01tr_e35tIxB3CZs...
  14. MRBIASHARA

    INAUZWA Tunauza mashine ya kuchakata malisho ya mifugo chaff cutter machine

    Tunauza mashine za kuchakata malisho ya mifugo kama vile kuku. Mashine hii inauwezo wa kuchakata mabua na majani hadi kuwa vipande vidogo dogo sana. Inauwezo pia wa kusaga magunzi,mahindi,mashudu na material mengineyo yanayotumika katika kutengenezea chakula cha kuku hadi kuwa unga kabisa...
  15. Roving Journalist

    Watuhumiwa 3,520 wakamatwa na Mifugo 8,970 nchini

    Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kwa kipindi cha mwezi januari mpaka novemba mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 8970 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini kati ya mifugo 15065 maeneo mbali mbali hapa nchini. Akitoa taarifa hiyo...
  16. MK254

    Picha: HAMAS wakusanywa kama mifugo, huku Netanyahu akiamrisha waendelee kujisalimisha

    Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera.... Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the Palestinian Islamist group’s end was near, as the war in the Gaza Strip raged more than two months after it...
  17. Kididimo

    Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

    Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo; 1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa...
  18. Roving Journalist

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba yabaini Kiwanda Bubu Arusha kinachotengeneza Dawa Bandia za mifugo

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo imefanikiwa kubaini kiwanda bubu ambacho kinatengeneza dawa bandia za mifugo...
  19. S

    Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
  20. sky soldier

    Kwanini Watanzania wengi hawapendi kucheza na kuwajali wanyama wanaowafuga?

    Tanzania wanyama tunaoishi nao wanateseka sana kwakweli, ni kama vile waliumbwa na shetani wakati tumeumbwa nao na Muumba wetu alietupa mamlaka tumsaidie kuwatunza, Watanzania tunasali sana na kuomba dua ila ya nini hivi vyote kama hatupo tayari kuukubali uumbaji wa viumbe vingine vilivyoumbwa...
Back
Top Bottom