Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliamua kumuondoa Wizara ya Ardhi ambapo sote naamini tunakumbuka hekaheka zake akamhamishia Wizara...
Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama.
Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya
Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara
=========
MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb)...
Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari:
BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA...
Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity).
Katika uwanja wa haki...
MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake.
Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika.
Kumbuka:michezo ni ajira
Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo.
Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?.
Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia.
Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors.
Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors?
Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi.
Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, WHMHT, Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka wafanyakazi wa Wizara anayoiongoza kutambua kuwa wao ni sehemu ya kuipeleka Tanzania Kidijitali kwa kuwa wana wajibu, majukumu na dhamana ya kutekeleza sera, sheria...
Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k
Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja niule ktk hii platform, credibility ya huu mtandao na ni vyema serikali ukau mulika ili.wamiliki waonywe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya Wizara ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika kutumikia wananchi.
Dkt. Yonazi...
SERIKALI imewataka wanaokusanya na kutumia taarifa za watu binafsi, taasisi na Serikali kupitia mitandao kutimiza wajibu wao kwa kuzilinda kwa kufuata kanuni, taratibu, sheria, maadili na nidhamu ya kulinda taarifa hizo kwa kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kuzilinda taarifa hizo.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.