utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani.

    Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani na unaoendana na matakwa kamili ya Mwenyezi Mungu kwani unazingatia maadili mema na upendo miongoni mwa jamii. Ni muda sasa tuubadili utamaduni wetu kuwa dini kama waarabu walivyofanya utamaduni wao kuwa dini...
  2. BARD AI

    Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo yaomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 258 kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili...
  3. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  4. L

    Wachina waenzi asili na utamaduni wao katika ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”

    Ilikuwa ni heshima kubwa mwaka huu kupata mwaliko wa kwenda kuhudhuria ibada ya kumkumbuka Mfalme Huangdi “babu wa Wachina wote”, ambayo ilikuwa kubwa na ya aina yake inayofanyika kila ifikapo tarehe tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China huko Xinzheng mkoani Henan. Mwaka huu...
  5. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
  6. Yoda

    Serikali boreshini utalii wa Makumbusho ya Kihistoria na Utamaduni, wageni hawataki kuona wanyamapori tu

    Moja ya mambo ambayo huwa tunajifariji na kujidanganya nayo wakati wote katika sekta ya utalii ni suala la kuwa na vivutio vingi vya utalii tukimaanisha hasa mbuga na hifadhi za wanyamapori au maliasili iwa ujumla. Ni jambo zuri kuwa na vitu hivi ila ni vyema tukajia hivi sio vitu vya kipekee...
  7. Dr Mgalatia Tz

    Utamaduni wa Usafi wa Zamani!

    Habari zenu Wanajukwaa! Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu) Baada...
  8. GoldDhahabu

    Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Kama umezaliwa kijijini kwenu, ukakulia kijijini kwenu, ukasomea kijijini kwenu, na shughuli zako zote ukazifanyia kijijini kwenu, ni rahisi kuamini kuwa mila na desturi zenu ndizo bora kuliko zingine zote. Lakini wakati huo huo, kwa watu wa tamaduni zingine, wanaweza wakawa wanawashangaa jinsi...
  9. K

    Tuwe na utamaduni wa kuzoea maendeleo

    Inawezekana nakosea kwenye hili kwasababu nimekuwa nikiishi kama diaspora kwa muda mrefu. Lakini sijaona tija kwa wananchi kukutana kwa siku nzima uwanjani kupokea ndege moja ingawa ni kitu kikubwa kwetu. Viongozi wangetumia muda kufanya shughuli za msingi. Waziri mkuu, mkuu wa mkoa mawaziri...
  10. Nyani Ngabu

    Waliotaka kuizunguka katiba wasilaumiwe, ilaumiwe CCM

    Mahojiano aliyoyafanya mkuu wa majeshi mstaafu yametufungulia kaupenyo kwenye dirisha la kilichokuwa kinaendelea kwenye siku za mwisho za uhai wa Rais Magufuli. Kitendo cha mkuu wa majeshi na wenzake waliokuwepo wakati Rais Magufuli anavuta pumzi yake ya mwisho na ‘sintofahamu’ iliyojitokeza...
  11. Pfizer

    Tamasha la Utamaduni na Utalii lazinduliwa Bariadi

    Tamasha kubwa la kimataifa la utamaduni na utalii linalojulikana kama Lake Zone Cultural and Tourism Festival limezinduliwa Bariadi Mkoani Simiyu. Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mh. Anna Gidarya (katikati) akizindua rasmi Tamasha la kimataifa la Utamaduni na Utalii maarufu kama Lake Zone Cultural...
  12. P

    Waziri Nape aruhusu magazeti kuendelea kusomwa kwa mbwembwe. Mpaka matamko yanakinzana huwa hakuna mawasiliano ndani ya wizara?

    Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti. Maelekezo mengine yeyote...
  13. D

    Utamaduni wa kututanganzia viongozi wakuu na wastaafu wanapoumwa haupo, inapotokea tunapata mashaka

    Ukweli usemwe tu! Kiongozi anapoumwa hapa nchini kwetu imekuwa kama kasumba kuficha ficha sana kutoa taarifa. wakati ni haki ya umma kufahamishwa alipo mtumishi wao wanayemlipa! Hata taarifa zinapotoka huwa kwa mbinde sana! Na taifa hilihili linapotoa taarifa kirahisi pasipo kuombwa ombwa...
  14. GENTAMYCINE

    Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

    Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
  15. H

    Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  16. M

    BBC Swahili tuleteeni habari zinazozingatia maadili, Mila na utamaduni wa Waafrika

    Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo serikali inapaswa kufanya haya ili tupate timu bora ya taifa itakayowakilisha vyema taifa letu

    Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi. Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana ili kutengeneza timu...
  18. Nyendo

    Prof. James Small: Wazungu hawana ustarabu, wana utamaduni wa vita

    Wazungu hawana Ustarabu, wana utamaduni wa vita
  19. uran

    Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  20. Kiboko ya Jiwe

    2024 Utamaduni wa kukopana pesa ufe. Ni utamaduni wa kijima.

    Kadri ya ubepari unavyoenea duniani hali ya uhitaji wa fedha kwa mtu mmoja mmoja imekuwa kubwa mno. Sio wafanyabishara, sio wafanyakazi, sio watu wa vijiweni. Wote hao wanahitaji pesa kutatua changamoto zao za hapa na pale. Ukizoeana na mtu iwe alikuwa classmate wako au mulikuwa mukisali kanisa...
Back
Top Bottom