Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
Nimemsikiliza Mbunge Mohamed Said Issa nadhani wa ACT kutoka Zanzibar akichangia hotuba ya wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu ubaguzi wa kimuungano.
Awali nilivutiwa na hoja zake lakini baada ya kubaini kuwa hoja kutoka kwa wabunge wenzake kuwa yeye ni Mtanzania, alizikataa zote pamoja na...
Niliyojivunia:
1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa wakiongea kwa kuangaliana makabila tu, yaani Mhutu kwa Mhutu au Mtutsi kwa Mtutsi hata kama wamekaa...
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka.
Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali...
Ni wazi kuwa Awamu ya nne itabaki kuwa Awamu pekee ya kidemokrasia. Tunadiliki kusema Kikwete ni baba wa Demokrasia.
Hongera sana JK Mungu akutunze. Ni Awamu pekee watu walipingana kwa hoja ndani na nje ya CCM na Bado walibaki pamoja.
Hali haikuwa hivyo katika Awamu ya Tano. Ilikua Awamu ya...
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama
Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali
===========
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
Waziri wa Elimu mhe. Adolf Nkenda amesimamia maamuzi ya Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu uamuzi wa kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi ambao wamegundulika kufanya wizi wa mitihani yao ya Taifa.
Amewaomba Wabunge waunge mkono msimamo wa Baraza kwenye uamuzi huo. Na bahati mbaya sana kwa...
Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana.
Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.