wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Je wazungu hawana wivu kwa washindani wao wa kibiashara? Hebu ona hii

    🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
  2. M

    Mashabiki wengi wa Simba wanaongoza kwa MAJUNGU na WIVU

    Sijui ni kwanini. Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba. Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu. Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana...
  3. Rozela

    Picha: Basi kuna mwanaharakati anaona wivu huko anatamani angeitwa yeye (niyeye)

    Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa. Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa sana kamanda wa anga, mjomba angu. Makamanda msiache kutoa hela za uanachama, lipieni kadi zenu...
  4. Poor Brain

    Nimenusurika kufa jana

    Wakuu wasalam.. Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana. Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja. Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine. Huyu...
  5. PSL god

    Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

    Heri ya mwaka wanajf Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida...
  6. RIGHT MARKER

    Kwa wivu mbaya uliokuwa nao halafu unataka kumiliki bastola

    📖Mhadhara (74)✍️ Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana. Wapo wanaume ambao wana tabia zifuatazo.... ✓ Mke akienda sokoni akirudi anafanyiwa ukaguzi wa mwili, kama vile kukaguliwa...
  7. eden kimario

    Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  8. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  9. Bi zandile

    Usimwonee Wivu Mtu yeyote

    Katika nchi hii kuna watu hujui wanapambana na nini. Usidanganywe na jinsi baadhi ya wasichana wanavyojipiga picha na kupost makalio yao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao huwa wamevunjika moyo tu. Kupitia picha hizo huwa wanatuma ujumbe kwa wale waliowakataa. Usidanganywe na wanaume...
  10. Lububi

    Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

    Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz. Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu. CHANGAMOTO: 1. wenye master key 2. Muundaji kuacha...
  11. Kaunara

    Wivu Unawatafuna Sana Watanzania

    Watanzania sijui tuna shida gani jamani, labda ni umaskini unasumbua sana ila ukweli hatupo sawa. Imagine mtu anaonea wivu ndoto ya mtu! Waswahili wanasema akumulikie mchana usiku atakumaliza. Juzi kati Diamond alisema ana ndoto ya kuwa Tajiri no. 1 duniani. Elewa nini maana ya ndoto ya...
  12. and 300

    Maasai kama Aborigines (Australia) walindwe kwa wivu mkubwa

    1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili, Mila na tamaduni. Na wanao Uhuru wa kuamua maendeleo yao. 2...
  13. britanicca

    Kwanini Kila anayefanikiwa lazima aitwe Mwizi, atoa Kafara, Free mason, Tapeli

    Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia 1. Mwizi 2. Katoa Kafara 3. Free mason 4. Tapeli Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
  14. Manyanza

    Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani

    Wasalaam Wakuu, Nimeona hiki kisa kilichoandikwa kwenye Agano la kale, Nimeamua kushare nanyi hapa ili mmpate kuelewa kwamba Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani. Hapa katika kisa hiki tunaona jinsi vile Nabii Daudi alivyomuua Goliathi jina lake lilikuwa maarufu na aliimbwa na kushangiliwa na...
  15. M

    Wivu wa mapenzi: Akatwa viganja na kujeruhiwa

    Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea Julai 24, 2024 ambapo inadaiwa mwanamke huyo alikuwa na...
  16. Mshamba wa kusini

    Nimechoshwa na toto langu la kiume wivu umezidi kwa mama yake

    Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote Lakini ghafla toka huyu jamaa azaliwe hivi sasa ana miaka mitatu na nusu jamaa lina wivu kutwa kucha kunipiga makofi likinikuta na mama...
  17. Tlaatlaah

    Wivu unachochea kuongezeka hisia za mapenzi na nguvu za kijinsia

    Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi.. Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea...
  18. N'yadikwa

    Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  19. S

    Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k? Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
Back
Top Bottom