Kwa mfano, leo nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiahidi Tshs Milioni 60 kwa wachezaji wa Tabora kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga. Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi ya namna hii.
Swali langu ni Je, pesa hizi zinatokana na kodi za wananchi au ni pesa zao binafsi au kuna fungu/bajeti...
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi mbalimbali iliyosalia kwa kushirikisha wabunge.
Akizungumzia suala hilo, Mchengerwa...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
Ukwasi walionao baadhi ya mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya nchini umezua jambo: Watetezi wa haki za binadamu wamehoji walikopata ukwasi huo viongozi hao wa serikali.
Ni hoja iliyoibuliwa na watetezi hao jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa tafakuri ya hali ya utetezi na uenezi wa...
Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamana kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao...
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema baadhi ya Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wamekuwa na vitendo vya kukamata Wananchi bila sababu ya msingi.
Ameeleza jambo hilo limetokea katika jimbo lake la Mlimba ambapo Mkuu wa Wilaya wa Kilombero tarehe 26 Agosti, 2024 Kata ya Mbingu kijiji cha...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja.
Mhe. Mchengerwa ametoa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Kamati ya Haki Jinai iliyotolewa na makamu mwenyekiti wa kamati hiyo...
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi.
Wengine hawajawah kufanya kazi za tender...
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.
1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.
2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali
Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo.
Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo.
Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
Niaje waungwana,
Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
“Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.