Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MLIMBA MKOANI MOROGORO
Mobhare Matinyi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mlimba, Morogoro, Alhamisi, Aprili 11, 2024: Saa 10:30 jioni.
1. Leo Alhamisi ya tarehe 11 Aprili, 2024, Kamati ya Kitaifa ya...
BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku!
Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo juu na mengine yafananayo na hayo kwa kilimo cha mpunga hapa tz, napenda kufahamu kutoka kwa wadau...
Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki!
Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi...
SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo.
Mhandisi Robert Magogo ambaye...
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli.
Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema:
Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.