Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto.
Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata magonjwa ya zinaa.
Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha watoto kujilinda na kujitunza ili waendelee...
Segmund Freud kwenye kitabu chake," Introductory Lectures on Psychoanalysis " anasema "Words and magic were in the beginning one and the same thing and even today words retain much of their magical powers ".
Ni Kweli kabisa maneno Yana nguvu kubwa Sana. Yanaweza kuua Na kuhuisha.
Haya Sasa...
Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao.
Mara nyingi mtoto...
Simu Janja zinatengenezwa kwa madini kadhaa ikiwemo dhahabu, fedha, platinamu, shaba na paladi. Ukikusanya simu nyingi na kuvuna madini hayo unaweza kuwa milionea ndani ya muda mfupi sana
Imeajwa kuwa Iphone ina gramu 0.034 za dhahabu hiyo ni sehemu ya utajiri unaobaki hata baada ya simu...
Habari wakuu !!
Je, unajua kuwa mji wa mbinguni kuna maghorofa yenye urefu wa mile 500,000 sawa na kilometa 804,450????
Ufunuo wa Yohana 21:16 Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu na mia tano; marefu yake na...
Habari wadau,
Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani.
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Naam nimeamua kuandika hili andiko ili tuweze kupeana maarifa mbali mbali katika jamii yetu tunayoishi.
Ajira, Ajira, Ajira hili ni neno lenye...
JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE
Habari ndugu zangu wa JamiiForum ,
Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
Ndio Maana wamama wenye watoto wa kike binti akisha vunja ungo wanakuwa wakali Sana kuhakikisha hakuna mazoea yaliyo pitiliza kati ya binti na baba ake.
Na kama una binti halafu ukaoa mwanamke mwingine ambae si mama mzazi wa binti huyo basi automatically mkeo huyo atakuwa Ana mtreat binti yako...
Kazi hii inapatikana nchini Japan kutokana umati unaokwenda kazini nyakati za asubuhi kwa kutumia usafiri wa treni. Japan ni taifa linalochapa kazi, na huhakikisha kila mtu anafika kazini kwa wakati unaotakiwa.
Kutokana na wingi wa watu, Japan imewaajiri watu wenye taaluma ya kuwasukuma watu...
Umewahi kujiuliza huwa unaweka mahali gani mkoba wako na je, kuna usalama wa kutosha kwa afya yako?
Kawaida watu wengi huweka mikoba juu ya meza, viti, madawati ya baa, hotelini, vibaraza vya vyooni, wanachoangalia ni mahali pasafi.
Wataalamu wa afya kutoka taasisi ya kisayansi ya Advanced...
Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!)
Kwanini?:
Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:-
- Mumewe kuwa waziri wa fedha.
- Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali
-...
Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake.
Ila tumezidiana kwa kiwango fulani..
Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa.
Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki.
Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.