wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  2. M

    JE WAJUA UMUHIMU WA MAX PIG

    ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Je, wajua kuna alama zinazomaanisha maagano na viapo? Jitahidi sana kuzilinda ili maadui zako wasizipate

    JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Alama! Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA. Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana. Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
  4. wasumu

    Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

    watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi comment big persontalk with big person. Jesus alisema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa vitu...
  5. R

    Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

    Salaam, Shalom!! Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki, Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni. Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia Mbinguni ikiwa Si Mwisrael wa mwilini au wa rohoni. Ikiwa unapenda kuwa mmoja wa raia wa Jiji hili...
  6. nipo online

    Je wajua maajabu taratibu za ndoa nchini Sudan Kusini?

    katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii, Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
  7. Marcy

    Je, wajua hili kuhusu mwonekano wa ngozi na sura yako

    Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru Ila kinyume na hayo utakuwa na mwonekano wa ajuza mwenye miaka 90
  8. bahati93

    Je wajua, zamani Wanawake ndio walikuwa wanatongoza mabishoo?

    Kweli mambo yanaenda kasi sana wanabodi. Sijui Manyangema hapo kale ya 2000s walikuwa wanakwama wapi, kwani nimekuja kugundua walikuwa hawatongozi kabisa, wao ndio walikuwa wanapigwa mistari sana na manzi wa enzi hizo. Hawa Wanawake wanaotongozaa sijui wameishia wapi, yaan tokea nitongozwe...
  9. excel

    Kila weekend Kuna mtu mahali anagongewa mtu wake

    Thats the truth.. Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅 Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend) Hata zile video 400 za Legend Engonga kutoka Gine ya ikweta zilirekodiwa Siku za week end😅😅😅
  10. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
  11. Bams

    Je, Wajua Kuwa Iran na Israel Kuna Wakati Walikuwa Marafiki Wakubwa?

    Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo, umepotea kabisa. Kabla ya mwaka 1979, Iran ilikuwa mnunuzi mkubwa wa silaha toka Israel (Before the...
  12. BLACK MOVEMENT

    JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  13. nzalendo

    Kijana Je, unajua namna ya kumundaa Mwanamke?

    Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja...
  14. Mtoa Taarifa

    Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  15. Pdidy

    Je wajua mwanamke hana dini??

    Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea Kama msilamu utajua anapoelewa
  16. Mshana Jr

    Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia...
  17. Pascal Mayalla

    Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  18. sanalii

    Je, wajua kua Bibilia ndio kitabu kinachoongoza kwa maandiko ya ukatili?

    Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali. moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
  19. Pascal Mayalla

    Je Wajua Kwanini Bara zinaitwa Shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli?

    Wanabodi Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli. Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua kwanini bara zinaitwa shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli. Kupitia live Mubashara ya TBC kwenye...
Back
Top Bottom