wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. popah21

    OMBI LA WACHIMBAJI WADOGO KIOMONI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DR. SAMIA.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  2. Pfizer

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  4. MamaSamia2025

    Kulikuwa hakuna adhabu nyingine kwa hawa watoto wadogo hadi kuwaua kikatili?

    Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania kuhusu kipara cha kushangaza wakatokea dubu wawili kimiujiza na kuwaua watoto 42 kikatili kama...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

    WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe Lofa! Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu Kamwe usijitese Kisa Mwanamke. Usiwe Yale majinga àmbayo ni...
  6. excel

    Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  7. Lady Whistledown

    Kuna umuhimu gani wa Wanawake kujiingiza katika Siasa kuanzia wakiwa Wadogo?

    Ushiriki wa wanawake katika siasa kuanzia wakiwa wadogo ni hatua muhimu kuelekea kuleta usawa wa kijinsia katika uongozi na maamuzi. Wanawake wanapohimizwa kujiingiza katika siasa tangu wakiwa na umri mdogo, wanaanza kujenga uelewa na uzoefu wa uongozi mapema, jambo linalowaandaa kuwa viongozi...
  8. Genius Man

    Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  9. Equation x

    Tuwekeze kwa wajasiriamali wadogo wanaojituma

    Habari wakuu, Nina wazo la 'win/win situation' inawezekana wewe ni mjasiriamali uko kwenye kundi hili:- Muuza genge Muuza mishikaki/ nyama mapande Muuza matunda Mama ntilie Mtembeza karanga, soda, biskuti n.k Chinga wa nguo Muuza nyanya, vitunguu n.k sokoni Muuza vyombo kwa kutembeza Unachoma...
  10. Pfizer

    Bilioni 16 kutolewa ili kuliokoa shamba la ushirika Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani

    Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
  11. Ojuolegbha

    MIKOPO KWA WACHIMBAJI WADOGO

    Serikali imeendelea kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini. Katika kipindi cha julai 2023 hadi machi 2024 jumla ya shilingi bilioni 187 zilikopeshwa kwa wachimbaji ukilinganishwa na shilingi bilioni 145 zilikopeshwa mwaka 2022 sawa na ongezeko la shilingi bilioni 42.
  12. Pfizer

    TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  13. Stephano Mgendanyi

    Juhudi za Serikali Zawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini Kuaminika na Taasisi za Fedha

    JUHUDI ZA SERIKALI ZAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO KUAMINIKA NA TAASISI ZA FEDHA ● Kiasi cha Shilingi Bilioni 10 zakopeshwa kwa wachimbaji wadogo kutoka CRDB ● Ni mkopo wa Mtaji,manunuzi ya mitambo na utoaji huduma migodini - Waziri Mavunde aipongeza Benki ya CRDB kwa kuinua sekta ya madini -...
  14. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Waziri Mavunde Yaleta Faraja kwa Wachimbaji Wadogo wa Lemishuko, Simanjiro - Manyara

    ZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO-MANYARA - Eneo la Lemishuko kurushwa ndege nyuki ya Utafiti - Serikali kutatua changamoto ya Maji,Umeme,Barabara na Zahanati - Aongoza Harambee ya ujenzi wa Zahanati Lemishuku - Jengo la Kituo cha ununuzi wa...
  15. A

    DOKEZO Tume ya Madini inatoa leseni za wachimbaji wadogo kwa upendeleo na kisingizio cha kutokuwepo Bodi

    Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni Waziri Mavunde hebu tusaidie na sie tuweze pata leseni tuendele na kazi sababu ukisema tusubiri board ipitishe inakuaje wengine...
  16. G

    Kwanini wafanyabiashara wadogo 20s-30s waliotoboa wakifilisika ni ngumu kujirudi lakini wanaoanza kushika pesa kwenye 40s ni nadra kudondoka?

    Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka kiuchumi, aina hii ya vijana ni ngumu kuwaona wanajirudi upya, wanaojitahidi kujirudi upya huwa wana...
  17. JanguKamaJangu

    Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kutumia leseni za wachimbaji wadogo

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni Shilingi Bilioni 753 huku akipiga marufuku kwa wageni kuingia kwenye leseni za wachimbaji wadogo. Mavunde pia ametangaza operesheni maalum kwa watumishi wasio waadilifu na kumtaka Katibu...
  18. Roving Journalist

    Tume ya Madini yawashauri wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo

    Serikali kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini imepata mwarobaini wa kupunguza majanga kwenye migodi kwa kuwaelimisha wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo. Akizungumza leo Julai 26, 2024 katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Tume ya Madini kutoka...
  19. Morning_star

    Kuja na watoto wadogo kulikuwa kunamaanisha nini?

    Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
Back
Top Bottom