Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia...
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo.
Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
Chama cha mapinduzi kimejengwa katika misingi ya Utu na Uzalendo,toka kuasisiwa kwake. Look
Dunia ya sasa, Geopolitics na mienendo ya dunia inahitaji kila taifa kujiimarisha haswa ktk uchumi,siasa na elimu(intelligence)
Taifa lolote ili liweze kutekeleza hayo linahitaji mkuu wa nchi aliye...
Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
Habari wanajukwaa.
Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA.
Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA.
Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia.
Mbaya zaidi hata...
THE STORY OF CHANGE
Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya mwaka 2022, kumekuwa na ukuaji mkubwa wa miji na ongezeko la mahitaji ya ardhi kutokana na upatikanaji...
VITA DHIDI YA ULAWITI NA UBAKAJI KWA WATOTO KUNUSURU VIZAZI VYETU
UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokumbwa na ongezeko la matukio ya ulawiti na ubakaji kwa watoto wa dogo tatizo hili linaongezeka kwa kasi sanaa .takwimu zinaonyesha kufikia aprill,2024 jumla yamatukio 799 ya...
Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo.
1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
Napendekeza yafuatayo katika sekta ya afya ili kuleta manufaa kwa Watanzania wote miaka ijayo.
1. Kuhakikisha vituo vyote vya afya vinakuwa na watoa huduma toshelevu kwa ngazi zote ili wahitaji wawe wanapata huduma ndani ya wakati.
2. Kujengwa kwa vituo vya afya vinavyokidhi mahitaji ya jamii...
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
Haya mateso tunayopata kama wananchi ni makubwa mno, umeme unakatika hujui unakatwa saa ngapi wala unarudi saa ngapi, tofauti na nchi za wenzetu hata kama kuna tatizo basi ratiba ifahamike na wahusika hao wakata umeme waifuate sio wanajiamulia tu, sisi kama wateja tuna haki ya kufahamu ili...
Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
Vitu kama hivi mfanyie bwana yako mkiwa wote faragha, sio mbele za mtoto wenu na mna post jamii inaangalia, hata huyu mtoto akikuwa atakuwa akiona hii picha kupelekea EITHER kumtia aibu mbele ya wenzake OR kuona kufanya uchafu mitandaoni ni kawaida kwa maana hata baba na mama walifanyaga hivi...
Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia.
Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha?
Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga kutufunulia vitu vile ambavo tusingeweza ona kwa sababu ya giza.
Siongelei kujumuisha watu wote ila...
Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Rais...
Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma.
Katika hili...
Ni mambo gani ambayo yamechangia hilo?
Kwanza kabisa, hebu tuanze kwa kufafanua zaidi tatizo kubwa katika msongo wa mawazo.
Hii inajidhihirisha kama dalili fulani, ambazo tunaweza kuangazia kama unapokuwa na msongo wa mawazo sehemu kubwa ya siku, kupungua kwa shauku katika shughuli ambazo hapo...
Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.