Watu wengi katika nchi yetu wanaishi maisha ya kawaida sana na ya kujutia sana huku wengi wao hawafurahii shughuli na kazi wanazozifanya. Lakini katikati ya watu wote hao kuna wengine bado huzunguka sana na bahasha zao wakiwa na elimu za juu kabisa bila mafanikio yoyote, na hata wakipata nafasi...
Utangulizi
Ushindani ni namna ya kupima uwezo, uzuri, uimara, umaridadi, au ubora baina ya pande mbili kwa kutumia vigezo takikana.
Ili kupata mshidi husika vigezo huzingatiwa kupima pande zote mbili. Kupima uwezo wa akili kwa mtu, ujuzi, wake katika Nyanja Fulani lazima akidhi na...
Michael nguma
0693110405
Inakuaje taifa kubwa kuwa na wasomi wengi wasio na maarifa katika rasilimali za taifa hilo?
Inakuaje taifa lenye mifumo ya elimu kuanzia ngazi za chini mpaka chuo kikuu linakuwa na wasomi wasio na maarifa ya kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa yao na kwa manufaa ya...
Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
By Abou Twika
0784327893
Awali ya yote, nianze kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni imani yangu mu kheri wa afya, na wale wote tuliye na maradhi inshallah, kwa neema zake rabuka atatupa mrejesho wa afya zetu.
Twendeni pamoja kwenye mada isemayo, ni jinsi gani kasumba...
SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO
Tarehe 24/3/2022, DODOMA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameelezea dhamira yake ya kuleta mageuzi makubwa katika Tasnia za Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Vipaji vya sanaa mbalimbali watoto huzaliwa navyo, wengine hujifunza kwa kuona kwa watoto wenzao na kuweza kumudu na hatimaye kuwa na uwezo katika sanaa husika. Mara nyingi vipaji vya watoto wetu vimekuwa vikichukuliwa kama sehemu ya michezo ya utotoni na hivyo mtoto kukosa msisitizo wa...
RESOURCE CURSE
Resource ni rasilimali
Curse ni laana
Hivyo RESOURCE CURSE ni balaa au laana ambayo inaambatana na nchi, mtu, kubarikiwa jambo flani.
Waswahili wanasema kwenye miti hapana wajenzi.
Nchi za kiAfrica zina experience sana hii laana, nchi zimebarikiwa na rasilimali za kutosha...
Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia.
Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi.
Ni...
Hizi shule zinachukua wanafunzi wa wastani wa juu kabisa, yani wanafunzi waliofanya vizuri darasa la saba kwa kifupi wanachukua Cream tupu, Hapa naongelea shule kama Kibaha, Mzumbe, Kisimiri, Msalato, Tabora Boys n Girls , Kilakala na Ilboru .Shule hizi upande wa Olevel hazifanyi vizuri sana...
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.
Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana.
Akina Yanga na Simba huko Bara ni...
Daktar anapoingia chumba chenye wagonjwa tofauti tofauti halafu wote akawapa dawa ya malaria hii inamana kuwa watakao pona ni wenye malaria tu wengine atakuwa hajawasaidia.
Hicho ndio kinacho tokea shuleni kwa sababu Tiba inayotolewa inalenga kuwa tibu wanafunzi wenye logical na linguistic...
Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii.
Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu.
Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii hawna vipaji.
Kila siku kuteletea mambo ya ajabu.
Kuna wale jana wa futui walikuwa wanatoa vichekesho...
Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa.
Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za...
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk.
Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
Habari,
Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611.
Kipaji chochote ambacho kinaweza kuendelezwa mfano ubunifu wa vifaa, uchekeshaji (comedy), vipaji vya michezo...
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:
1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page
Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.
1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
Habari za mchana wanabodi, hongera kwa waliofanikiwa kufunga mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan mpaka siku ya leo, hakika mola yupo nanyi! Baada ya salamu hiyo napenda kutoa maoni yangu machache kuhusu hizi shule zetu zinazoibuka kila siku kwa jina english medium, kwa kweli napenda kukiri...
Wadau habari zenu!!
Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!!
Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!!
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.