Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao.
Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika...
1.Wafanyabiashara wa mabasi
Mfano ndugu Ahmed Shabiby aliwahi nukuliwa kwenye mahojiano kwamba basi lake la kwanza alimiliki akiwa na miaka 19. Bila shaka mpaka sasa ana uzoefu mkubwa mno, na ni muda wa kutumia ujuzi huo ku-diversify (kutoweka mayai kapu moja) kumbuka walomtangulia kama Sumry...
Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini.
Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na vipaji vingi, kuanzia sanaa hadi sayansi. Vijana wake wanajulikana kwa ubunifu na uwezo wa kipekee katika maeneo mbalimbali. Hata hivyo, changamoto za kimaisha na ukosefu wa rasilimali mara nyingi huwafanya vijana hawa kushindwa kufikia ndoto zao. Ushirikiano...
Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba.
1. ZITTO KABWE
Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo
Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali katika sekta mbalimbali mfano kuna vijana wengi wanataaluma computer science wapo tu mtaani awana kazi...
Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu.
Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo mfano tunabidi tuwe nashule za vitendo kwa watoto wetu wajao kwa kugundua vipaji vya watoto ili...
Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile kuendana na kasi hiyo.
Mosi, Tanzania inaweza kuungana na nchi nyingine katika hatua hiyo kwa...
Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto.
Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali kuibua vipaji mbalimbali vya watoto kupitia vipengele vifuatavyo
1.UTANGULIZI.
2.TATIZO LIKO WAPi...
Katika dunia tuishiyo leo, ni bora kuwa vizuri katika jambo fulani(kuwa expert) kuliko kuwa na ma vyeti mengi lkn uko shallow! Yaani unatakiwa kuwa mjuzi katika filed husika.
Mfumo wa elimu hauna specifications kwamba wewe una kipaji gani bali ni one fits all. Hivyo basi wazazi wanapaswa...
Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi?
swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio?
Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad...
Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm...
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.
Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
Mpira unaanza na uwezo wa akili kufanya maamuzi. Mpira unatokana na skills na creativity. Watu wote wenye vipaji wanafaulu katika eneo lao la specialization.
Mafundi simu simu wengi siyo wale waliomaliza degree bali ni wale walio na kipaji chakujifunza kutengeneza simu.
Mafundi furniture siyo...
WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA
Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga.
Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha.
Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni.
Wachezaji kutoka Tanzania...
Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika!
Angalia David kameta(duchu) kabla hajaenda Simba alikiwasha sana wakamsajili akasugua benchi mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.