uhuru

  1. JanguKamaJangu

    Waandishi wa habari Sudan Kusini walia kukosa uhuru

    Waandishi wa habari wa Sudan na Sudan Kusini wameeleza kuwa wanakabiliwa na vitisho, ukandamizwaji na ukamataji holela hali ambayo inaondoa uhuru wa utendaji kazi wao. Inadaiwa kati ya Januari na Machi 2022, maafisa wa usalama waliondoa makala kadhaa katika Gazeti la Juba Monitor, ambalo...
  2. Linguistic

    Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  3. Magazetini

    Balile: Kwa miaka sita mfululizo Tanzania ilikuwa na anguko la uhuru wa vyombo vya habari mpaka Rais Samia ulipolidhibiti

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini. Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea...
  4. Roving Journalist

    Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD) ambayo inafanyika leo Mei 3, 2022 Jijini Arusha. Kabla ya Rais Samia kuanza kuzungumza, mijadala imeendelea ukumbini: DKT. RIOBA: MAMLAKA ZINAPATA UGUMU KUZUIA NGUVU YA DIGITALI...
  5. luangalila

    Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
  6. M

    Magazeti ya HabariLeo na UHURU mna uhakika kuwa Jana Rais Samia amepandisha Mishahara kama mlivyoandika leo katika Vichwa vyenu vya Habari?

    Tafadhali Wahariri wa Magazeti ya HabariLeo na UHURU ( ambao najua mpo hapa JamiiForums ) hebu tuwekeeni hapa Sauti ya Rais Samia ya jana ( Mei Mosi ) akisema kuwa amepandisha rasmi Mishahara kama ambavyo mmeripoti ( mmeandika ) leo katika Vichwa vyenu vya Habari. Kwa Upuuzi na Ujuha ( Uzuzu )...
  7. Roving Journalist

    WPFD 2022: Maadhimisho yaanza rasmi Nchini Tanzania. Ripoti ya Dunia yaonesha Uhuru wa Habari unazidi kuporomoka

    Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
  8. K

    Ni kwa nini Uhuru Kenyatta na Paulo Kagame hawajamuiga Samia Suluhu ?

    nimemsoma member mmoja humu JF akisema movie ya mama Samia ya royal tour inaweza kuingiza mpaka 1.5 trillion kwa kukodishwa pekee kwenye mtandao wa amazon na bado kuna faida nyingine kama ongezeko la watalii nk sasa kama movie iliyogharimu billion 7 inaweza kuingiza pesa mingi kiasi huko kwa...
  9. MK254

    Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  10. Q

    Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

    Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo. Anyways, hakuna ubaya ni...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia mgeni rasmi kilele Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari

    IDARA ya Habari-Maelezo imemtaja Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi kilele cha maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari ambayo kitaifa yatafanyika Mei 3,2022 Jijini Arusha. Kaimu Mkurungenzi Idara ya habari-Maelezo Rodney Mbuya amesema hayo leo...
  12. L

    Kutoka Xinjiang hadi Ningxia, jinsi ninavyoona uhuru wa kuabudu dini nchini China

    Kadiri siku zinavyosonga mbele, uhuru wa watu kuabudu dini nchini China unazidi kuwa mkubwa. Na hii inatokana na sera nzuri za China katika masuala ya dini, kwani katiba ya China katika kifungu chake cha 36 inaeleza waziwazi kuwa “wananchi wana uhuru wa kuamini dini watakazo”. Serikali ya China...
  13. Sky Eclat

    Maktaba (library) ngapi zilijengwa baada ya Uhuru?

    Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo. Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua...
  14. M

    Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

    Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
  15. Mohamed Said

    Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika: Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Ali Msham amefanya mengi ambayo...
  16. J

    Katiba zibadilishwe, Watoto wanahitaji uhuru wa maamuzi yao, mahari inatumika kuwafanya watumwa

    Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa wakati huo wa Makaburu. Mauaji yalifanyika mwaka 1976 wakati watoto hao waliokuwa wakidai haki ya...
  17. kavulata

    Uhuru wa vyombo vya habari, vyombo vya habari vya Magharibi viko huru?

    Vita vya Russia na Ukraine vimenifumbua macho yangu. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi ni vyombo ambavyo havitoi habari kuhusu kile kinachoendelea kwenye vita, havisimami katikati, vimeegemea upande. Iko siku vyombo hivi vitatumika kurudisha ukoloni Afrika. Je, vyombo vya habari vya...
  18. voicer

    Wanahabari Tanzania mmepewa Uhuru, mnakwama wapi?

    Mmekuwa mkiililia serikali hususan awamu ya tano, iliyopita. Kwamba ilikandamiza na kuuminya Uhuru wa kuongea na kutoa maoni nchini. Ikiwemo kuminya Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania. Sasa ni awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan. Ameifungua nchi kimataifa. Pia amewapa Uhuru wenu...
Back
Top Bottom