Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki.
Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu.
Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
Hii kazi nashindwaga kuielewa lengo lake ni kumfanya mtu ajae mwili au ajae fedha yaani unakuta mtu miaka na miaka kuanzia asubuhi mpaka jioni anahangaika kukimbiza tofali na mwili ushakua jumba yaani si Bora mtu uingie ulingoni kama kina kiduku maana mwili umekua jumba na umekomaa ila...
Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi
Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen
Ukubwa - 91sqm
Urefu - 12.3m
Upana - 8.5m
Gharama Ujenzi Boma
- Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache
Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)
Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja
Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
Wakuu amani iwe nanyi!
Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima.
Karibuni sana Wakubwa.
Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura
Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji
Habari wadau,
Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je, afanyeje na kama kuvunja nyumba...
Najua duniani kwa sababu fulani fulani za kimaadili huwa hawanunui bidhaa zilizotengenezwa kwa forced labour.
Nimepita Shinyanga nimekuta wana wanagonga tofali kama vibarua. Je, hela zinazopatikana hapo zinaenda wapi? Kwa hiyo jeshi la magereza limeona kukata magogo haitoshi wameona wahamie...
Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini.
Na hivo vifaa navipata kwa bei gan.
Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
Serikali mkoa wa Mara imesema inatarajia kuweka uraratibu wa kuwakagua wanafunzi wakike kabla ya kuingia darasani , waliokekeketwa na endapo itabainika kuna mtoto kakeketwa wazazi na walimu wakuu watachukuliwa hatua za kisheria kwa kushindwa kudhibiti ukeketaji.
Chanzo: Jambo Tv
Yaani kabisa...
Wakuu,Heshima kwenu nyote.
Kwanza kabisa nishukuru kwa namna mnatoa madini katika jukwaa hili la ujenzi Kila siku.Hii inatia hamasa kwa mtu anaetamani kujenga.
Leo nilienda kutembelea sehemu wanapouza Tofali na Bei zimekaa kama ifuatavyo.
1.Ratio ya Tofali 40 -1200 kwa Tofali.
2.Ratio ya tofali...
Habari wana Jamvi.
Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka...
Hello wakuu mambo vip.
Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza.
Makadirio ya tofali
Makadirio ya mifuko ya cement
NA nondo za lenta ya msingi
Pia na ufundi.
Nyumba ukubwa ni meter 80
Kamjengo nataka kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.