soma

  1. D

    Ujumbe muhimu Sana. Soma kwa makini ili uwe philosher kama wao

    Justice okoro, Mchungaji wa dhehebu la pentekoste, Zambia alisema; Mimi nawapenda Wakatoliki kwa kiwango cha kutokujali maneno ya watu wanasema nini juu yao, Unaweza kukosoa kanisa lao, viongozi wao au imani yao, kadiri unavyoweza watakusikiliza hadi umalize, kisha wataenda kanisani Jumapili...
  2. P

    Soma bila kupita , Kisha toa Maoni yako

    Moja ya jambo serikali inatakiwa kutake kwa umakini sana ni eneo la mahusiano, naona kuwa serikali inatakiwa kuanzisha somo la mahusiano kuanzia primary hadi university level. Naweza Sema mahusiano ni Kila kitu, vijana wengi wanapoteza dira ya maisha sababu hasa ukitazama ni eneo mahusiano...
  3. biabia

    Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  4. LIKUD

    Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

    Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu.. Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee??? Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana. Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda...
  5. Zingzingzing

    Jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa tunapoagiza bidhaa toka kwa watu wa Dar es Salaam

    Habari za asubuh ndugu wana jf. Leo nimekuja kutoa mikasa miwili mitatu jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa pale tunapoagiza bidhaa toka huko dar es laam. KISA CHA KWANZA niliwah ona page 1 ya facebook & instagram ambayo inapost nguo nzuri sana za dukani hasa mashati, kwakua nilipenda...
  6. KAGAMEE

    Soma maandiko upate maarifa: Mwanamke siyo mtu usihangaike naye

    Nashangaa watu wanaojifanya kutaka kuwaelewa wanawake.Unaweza kubadili tabia ya mti?Au tofauti? Ebu soma biblia hapa chini. Mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana. Kama angekuwa mtu kila mtu anajua sentensi ingekaaje hapo. Hili andiko halihusiani na...
  7. LIKUD

    Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa.. Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako. Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake. Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
  8. MamaSamia2025

    Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

    Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi...
  9. O

    Kama unataka kuoa au kuolewa haraka soma ujumbe huu

    HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa HARAKA sana Kwa kutumia dawa unakuwa umepata mchumba WA uhakika WA kukuoa na SIO kuchezewa Kwa...
  10. pefla

    Elimu ilifia Chuo Kikuu au ilizikwa chuo kikuu?

    ELIMU ILIFIA CHUO KIKUU au ILIZIKWA CHUO KIKUU? Imeandikwa na ASKOFU BAGONZA Mzee Jenerali Ulimwengu kasema vyuo vikuu vyetu ni kama Extended High School. Anayebishi anitafute. Sababu ni nyingi kama idadi ya wajinga wetu waliosoma vyuo vikuu. 1. Tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja, tulifuta...
  11. J

    Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  12. TODAYS

    Kweli Wananchi Wamechafukwa. Soma!

    Picha chini ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) (Mimi naona wanakimbia hawa)
  13. MamaSamia2025

    Soma hapa ujue jinsi ya kujinasua kwenye mtego wa madeni ulionasa

    Wakuu kwa sasa hali ilivyo ni kuwa watu wengi sana wamenasa kwenye mtego mbaya wa madeni na kujinasua imekuwa mtihani. Iwe mtu alikopa kwa sababu yoyote ile ni kwamba muda wa kudaiwa hakuna anayeonewa huruma. Aliyeomba mkopo wa biashara ikabuma anapata taabu sawa na aliyekopa mkopo akauhonga...
  14. DR Mambo Jambo

    Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  15. DR HAYA LAND

    Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

    Hwl Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana. Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
  16. sky soldier

    Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  17. Mhaya

    RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
  18. The Burning Spear

    Mnadanganywa kusoma sayansi ili walio soma kiswahili/History wawaongoze na kula hela zenu.

    Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first class students. Huo ndo ukweli waliosoama history ndiyo watoa maamuzi ya fedha zenu ziende kwenye...
  19. himiri

    Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

    Kuna hoja na mada mbalimbali humu zinazotolewa na members, na members hawa wengi nimeona ni wataalamu wa kitu wanachokiongea, utaalamu si tu wa darasani ila pia kupitia experience ya jambo lake analozungumzia. My concern ni kwamba, kuna mtu anaanza poa kabisa kutoa hoja yake (au just...
Back
Top Bottom