Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!?
Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo...