Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana?
Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa.
Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa Bodaboda 250 yenye lengo la kubadili mtazamo wa Matumizi ya Nishati chafu kuunga Mkono jitihada za...
Nikiwasikiliza viongozi wetu ni kama wanalalamika na kutupa lawama kwa Wananchi kwamba hatupendi kutumia gesi dhidi ya kuni na mkaa.
Ukweli mbona mnaujua, hakuna Mwananchi atakayehangaika na kuni au mkaa kama gesi itapatikana kwa urahisi. Muda na nguvu inayotumika kuhubiri nishati safi iende...
Kutokana na Kampeni za Mazingira na kuhakikisha nchi haziendelei kuharibu Dunia yetu, Kuna kiwango fulani ambacho kimewekwa katika viwanda (hususan katika nchi zinazotoa / zalisha sana Carbon) kwamba wasizidi kiasi fulani.
Sasa kuna nchi kama Tanzania yenye misitu na haizalishi sana Carbon...
Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira.
Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kupitia utekelezaji wa Mradi wa uchakataji topetaka (Fecal Sludge Treatment Plant)...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo.
Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...
Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!
Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza...
Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi.
Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na kuwanufaisha wananchi na vizazi vijavyo kwa kujenga / kuanzisha kitu ambacho kitatusaidia milele na milele...
MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama
Mhe...
Pamoja na siku za hivi karibuni kutoa boko sana kwenye hotuba zake lakini this time inaonekana kama Rais Samia ameanza kurudi kwenye mstari.
Kuna kauli ameitoa akiwa akiwa huko na Namtumbo, kauli ambayo bila shaka itachagiza wanawake wengi hasa wa vijijini kupiga kura kwenye uchaguzi ujao...
Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
Mbunge wa Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amegawa majiko ya gesi ya kupikia kwa mama lishe jimboni kwake, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha...
Tanzania inaweka juhudi kubwa kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambayo inalinda mazingira lakini pia afya ya wanawake na watoto ambao wanaathirika zaidi na matumizi ya nishati ambazo sio rafiki kwa mazingira na afya.
Hapa naongelea mkaa, na kuni lakini hata hivyo kwa maeneo ya mijini...
Mkaa mbadala ni matokeo ya teknolojia mpya na rahisi ya kutengeneza mkaa tofauti na aina ya mkaa wa kawaida uliozoeleka.
Wadau, naomba kufahamu huu mkaa mbadala huwa unauzwa wapi?
RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA
Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7)
Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.