vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  2. G

    Tuliozaliwa na kukulia mjini bila kupajua / kutembelea vijijini kwetu tukutane hapa, una majuto yoyote ?

    Nimezaliwa mjini, nimekulia mjini maisha yote hadi sasa na mimi nimekuwa mzazi sijawahi kukijua wala kutembelea kijiji cha mzee. Kitu nachojua pekee ni kwamba mzee ni wa huko Ruvuma, maeneo ya Tunduru. Kuna kipindi huwa natamani walau ningekuwa naweza kwenda kusalimia na kutalii huko kijijini...
  3. Pfizer

    Huduma ya majisafi na salama imeimarika kwa Vijijini 79.6 na Mijini 90% Mwaka 2023

    MAFANIKIO YA MIAKA MITATU YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA A). Huduma ya majisafi na salama vijijini na mijini imeimarika Vijijini kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Chanzo kipya cha fedha kupitia...
  4. J

    Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya rais samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Waziri wa Maji Nchini Mhe...
  5. presider

    SoC04 Usalama wa abiria ndani ya daladala za mijini na vijijini

    UTANGULIZI Usafiri wa daladala ndio usafiri unaotumiwa na watu wengi ndani ya mikoa mikubwa(Majiji), mikoa midogo na vijijini. Ni usafiri ambao asilimia kubwa wa watumiaji wa watu wa kipato cha kati. Mara nyingi wakati wa Asubuh na jion kwa mikoa mikubwa kama Dar es salaam, Mwanza nk ndio...
  6. S

    Serikali ifanye maamuzi magumu ya kupiga marufuku bodaboda mimi zitumike vijijini tu kupungiza ajali au iweke kodi kubwa zisiingie nchini kwa wingi

    Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
  7. K

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto, makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini

    Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
  8. Stephano Mgendanyi

    Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali

    MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI KENNETH NDINGO leo tarehe 30 Aprili, 2024 amefikisha Hoja ya Dharura Bungeni mbele ya Spika kutokana na...
  9. Etugrul Bey

    Jamani vijijini wanawake wanathaminiwa sana

    Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai wako,,,, jana tu kuna mwamba nasikia wamekatisha uhai wake kisa alitembea na mke wa mtu. Kuna kisa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyaleta Maafa kwa Watu 685 Kijijini Lyasembe - Musoma Vijijini

    Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi. Jumla ya watu walioathirika ni: 685 Watoto 384 Watu wazima 301 Jumla ya majengo yaliyoharibika: (i) Nyumba zilizobomoka (17): 17 za wanakijiji (ii) Nyumba zilizoezuliwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wafugaji wa Musoma Vijijini Waendelea Kuunda Vikundi vya Uchumi

    WAFUGAJI WA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUUNDA VIKUNDI VYA UCHUMI: KATA ZA IFULIFU NA NYAKATENDE ZAOMBA JOSHO LAO LA MWAKA 1956 LIBORESHWE Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alikaribishwa kutembelea josho na rambo la wafugaji wa Kata za Ifulifu na Nyakatende. Josho...
  12. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Serikali Kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa Lami

    Serikali imepanga kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa kuanza ujenzi wa barabara ya Kyaka - Katoro - Kanazi hadi Kyetema yenye urefu wa kilometa 60.7 kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi na uwekezaji ndani ya Mkoa wa Kagera. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Vijana wa Kariakoo (mawinga) ni muda sasa wa kurudi vijijini kulima

    Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua. Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita...
  14. Stephano Mgendanyi

    Siku ya Misitu Duniani - Musoma Vijijini Washerehekea kwa Kupanda Miti Mashuleni

    SIKU YA MISITU DUNIANI (THE INTERNATIONAL DAY OF FORESTS) - MUSOMA VIJIJINI WAISHEREHEKEA KWA KUPANDA MITI MASHULENI Leo (21.3.2024) ni siku ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kukumbushana umuhimu wa misitu ya aina zote. UN ilipitisha azimio la siku hii (tarehe 21 Machi ya kila mwaka) kwenye Mkutano...
  15. Ndagullachrles

    Mbunge Saasisha anunua kesi ya Profesa Ndakidemi Moshi Vijijini

    Hakuna shaka kwamba makada wa chama cha mapinduzi(ccm)Katika maeneo mbali ya nchi wameanza mikakati ya chini kwa chini ya kujijenga kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani. Baadhi yao wameunda makundi ya kuwasaidia kuendesha harakati hizi huku baadhi yao walitumia mbinu chafu za kuwachafua...
  16. R

    Uliwezaje kumudu maisha ya vijijini baada ya kuhamia /kuajiriwa huko?

    Maisha ya vijijini yanashangaza sana unaweza kujiuliza hawa watu huwa hawapati pesa au shida nini. Msosi shida, usafiri shida, nyumba shida, maji shida, yaani kila kitu shida. Hii imepelekea what we call suffering ndo imekuwa furaha ya wakazi wengi wa vijijini. Watu wanaishi tu ili mradi siku...
  17. N

    CCM inatumia ujinga wa watu hasa vijijini kujipatia kura

    Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM. Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo...
  18. chiembe

    Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  19. J

    Moshi Vijijini acheni siasa za kuchafuana, muda bado

    Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo la Moshi vijijini lilimpata mbunge wake,Profesa Patrick Ndakidemi kupitia chama cha mapinduzi(CCM)baada ya kuwashinda wapizani wake akiwamo mpinzani wake mkubwa kwenye kura za maoni,Morris Makoi. Falsafa ya chama cha mapinduzi ni kwamba,baada ya...
  20. Suley2019

    Tuliambiwa tozo ni kwaajili ya kujenga barabara za vijijini. Vipi barabara zinajengwa kweli?

    Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni tozo za kizalendo sababu zimelenga kutumiwa kujenga barabara za vijijini. Soma: Serikali yatangaza...
Back
Top Bottom