nishati safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nishati safi ya kupikia: Wengi wanatamani kuanza kutumia gesi lakini hawawezi

    Tanzania inaweka juhudi kubwa kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambayo inalinda mazingira lakini pia afya ya wanawake na watoto ambao wanaathirika zaidi na matumizi ya nishati ambazo sio rafiki kwa mazingira na afya. Hapa naongelea mkaa, na kuni lakini hata hivyo kwa maeneo ya mijini...
  2. F

    Naomba kufahamu mkaa mbadala unauzwa wapi

    Mkaa mbadala ni matokeo ya teknolojia mpya na rahisi ya kutengeneza mkaa tofauti na aina ya mkaa wa kawaida uliozoeleka. Wadau, naomba kufahamu huu mkaa mbadala huwa unauzwa wapi?
  3. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
  4. K

    Dkt. Doto 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika Kizimkazi-Zanzibar

    DKT. BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko...
  5. MAKOSHNELI

    Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

    Wakuu, leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa...
  6. Tukuza hospitality

    SoC04 Nishati Safi ya Kupikia Iwe Dhana Mtambuka kwa Idara zote za Serikali

    Utangulizi Ni ukweli kuwa swala la nishati safi ya kupikia limekuwa linapigiwa chapuo kwa miaka mingi na serikali pamoja na wadau wengine mbalimbali, yaani watu binafsi na asasi za kiraia. Tangu utawala wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius K. Nyerere hadi sasa, swala la nishati safi limekuwa...
  7. Replica

    Wafanyabiashara nimewanyooshea mikono, kituo cha kujazia gesi Airport chafurika na foleni

    Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  9. H

    SoC04 Matumizi ya Bio gesi kama nishati safi ya kupikia yenye gharama nafuu na pia kama njia ya kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi

    Bio gesi ni nishati ambayo hutengezwa kwa kutumia kinyesi cha wanyama kama vile ngombe, mbuzi na kondoo, na wanyama wengine ambao ni wakufugwa,pia huzalishwa baada ya kuoza kwa mbolea ya wanyama au taka za kikaboni. Picha Baraza la usimamizi wa mazingira (NEMC)...
  10. ChoiceVariable

    Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

    Kutoka Dodoma Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amezindua matumizi rasmi ya magari ya umeme Kwa Wananchi wanapotaka kuyatumia. https://www.instagram.com/p/C7nwUkRtb0m/?igsh=MTltOXdyenk3cjZieA== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua magari yanayotumia mfumo wa umeme...
  11. L

    Umoja wa Ulaya haupaswi kukubali madai ya Marekani kuhusu sekta ya nishati safi ya China

    Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la Marekani kwa China kunaweza kuwa kikwazo kwa mkakati wa uhuru wa bara hilo la Ulaya. Vitendo vya kujilinda...
  12. P

    SoC04 Matumizi ya nishati safi kwa matumizi ya kupikia na viwandani kwa maendeleo ya Tanzania

    Nishati ni ule uwezo au nguvu ya kufanya kazi inayoleta matokeo Fulani ambayo yanaweza kuwa chanya au hasi, nishati imegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni nishati safi na nishati chafu. Nishati isiyo safi ni aina ya nishati ambayo husababisha madhara ya kimazingira mara baada ya...
  13. Janeth Thomson Mwambije

    Kuendeleza hamasa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Miongoni Mwa Utekelezaji Unaoendelea Kufikiwa na Serikali Ya Awamu Ya Sita, Ni Ufikiaji wa Asilimia Kubwa Ya Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia. Na Kwa Kutambua Umuhimu Wake, Nilifanikiwa Kutembelea Kampuni Ya Utengenezaji - Majiko, Ya, "Envotec", Inayotengeneza Majiko Kwa Kuzingatia Usalama wa...
  14. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia > (Tofauti ya Gesi Asilia (Methane) na Gesi ya Mitungi Majumbani (Propane)

    Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza...
  15. S

    SoC04 Mkakati huu una tija zaidi katika hifadhi endelevu ya misitu

    Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na kuisimamia ipasavyo. Kama nchi nyingine, Tanzania imeshuhudia changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabia...
Back
Top Bottom