nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joseph 44

    NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

    Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
  2. Nyabiri

    Msaada wa dawa ya kuua mzige wanaokula mazao

    Wadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
  3. Qashy Lilith

    Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

    Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa...
  4. Qashy Lilith

    Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Habari zenu, Naomba kuuliza swali: Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
  5. U

    Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

    Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili. Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa...
  6. Qashy Lilith

    Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia Naombe ushauri wenu?
  7. P

    Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  8. Brojust

    Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  9. Candela

    Mimba ya mwanamke imetokea kunipenda mimi lakini naishi kwa wasiwasi. Naombeni ushauri wenu

    Iko hivi, hapa zipo 4 apartments, yangu ipo Mwanzo kabisa. Huyu mke wa mtu alikuwa analeta mazoea na ikaribu usio na ulazima. Full kunichekea kila akiniona. Anaweza kurudi na mumewe anaweza kuniita hata usiku anasema amenimiss na jamaa anasikia kabisa. Fast forward jamaa kampiga mimba...
  10. chinatown

    Mazingira yapi katika mirathi ambapo vitukuu wanaweza kuwa na haki kuzidi wajukuu katika kurithi

    Hivi ni mazingira yapi katika mirathi ambapo vitukuu wanaweza kuwa na haki kuzidi wajukuu katika kurithi mali? wanasheria nisaidieni,
  11. NGOSWE2

    Mahitaji msaada wenu wana JF nimekwama, tafadhari nisaidieni.

    Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na mafundi kadhaa ili wafike pale site na kunipa za bati mahitaji. Hata hivyo, kila mara wanaponitumia...
  12. Mr Suprize

    Watu wa Sheria Nisaidieni kwenye hii ndoa ya Dada angu

    Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna. Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea mahali dada angu tumejaribu kufwatilia kama family bwana shemej anapiga Kona Kona nyingi sana , Hilo la...
  13. Clark boots

    Wataalam nisaidieni hapa

    Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua.? Au inatakiwa ni-switch off switch ya umeme kabisa.? Ni vitu vidogovidogo Ila kwangu ni muhimu...
  14. R

    Naomba msaada kutoka kwa Wanasheria na Mawakili

    Ward tribunal kwa sheria ya sasa (mabadiriko ya 2021) wanafanya mediation. Swali langu ni hili: Mediation ikishindikana, nani anapewa certificate ya ku certify failed reconciliation. Je ni yule aliyeleta hoja kwenye ward au hata yule mwingine anaweza kupewa certificate?
  15. A

    Nisaidieni kufanya uchaguzi mzuri wa chuo

    Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na Marketing CBE DAR Niende wapi?
  16. E

    Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  17. Sonko Bibo

    Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha. Sasa...
Back
Top Bottom