Sina maneno mangi naomba niwakumbushe jambo waajiriwa.
Nambari 1: Kama uliweza kuajiriwa ni vyema ukatambua kuwa unaweza kufukuzwa kazi pia.
Nambari 2: Ukifa, ukistaafu, ukiacha kazi, ukihamishwa, ukipunguzwa kazini, ofisi unayofanyia kazi haitafungwa.
Itaendelea kama kawaida na itastawi kama...
Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika.
Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo...
Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya.
naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
MCHANGANUO WANGU
MTAJI WA KUANZIA
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad...
Ukikubali kuajiriwa lazima ukubali unafanya kazi ili ulipie gharama za uendeshaji ikiwa pamoja na mshahara wako pia umtengenezee faida muajiri wako.
Muajiriwa-: Jitahidi Sana kutambua kuwa kadri unavyozidi kujituma kazini ndivyo unavyoongeza thamani yako katika ajira yako. Kujituma kwako...
Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba.
Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe...
Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba.
Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta...
Katika lile tukio lililoshtua ulimwengu,
katika tasnia ya ajira tuliona wengi kupunguzwa makazini.
Binafsi nilijifunza kuchapa kazi mno Kuna tija mno maana kusimamishwa inamaanisha Kuna watu wanaweza fanya ata wewe usipokuwepo kuhusu saving hapo nilijifunza ni Jambo la msingi mno.
Karibu...
Habari wakuu,
Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E.
Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa...
Leo nataka kuwapa ushauri waajiriwa. Malalamiko ya mishahara kutokutosha yamekuwa mengi, hasa kwa waajiriwa na Mama Samia.
Malalamiko yenu ni ya msingi kabisa. Lakini inabidi mjiongeze. Najua hata mkiongezewa mshahara shida ziko pale pale. Simaanishi msiongezewe, la hasha!!
Naona kuna tatizo...
Tunatafuta usalama na uhuru.
Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2).
Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
Ni vigumu kutambua nafasi ya Rais wa Tanzania hasa katima hoja aidha ni mwajiri wa wananchi au ni mwajiriwa wa wananchi.
Marais waliopita wametengeneza dhana kwamba wao ni waajiri wa wananchi huku wanapokuwa kwenye Mikutano ya adhara wakihubiri kwamba wao ni waajiriwa. Rais wa Tanzania...
Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili.
Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini?
Na vipi Mkude akiamua...
Habari Wana Sheria?
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kero za serikali juu ya upandaji madaraja( promotions)
Mwaka 2015 mwezi Novemba nilipokea barua ya kubadilishiwa daraja ( promotion) niliendelea kupokea mishahara wa zamani mpaka mwezi Mei 2016 ndo nikapewa mshahara mpya unaoendana na daraja...
Wasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.