MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Shirikisho la kandanda duniani FIFA linasema hatua ya muamuzi kutoa kona kwa timu ya upinzani endapo mlinda lango ataushikilia mpira kwa zaidi ya sekunde nane, itasaidia kupunguza suala la kupoteza muda.
Chanzo: DW
Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
Habari wakuu
Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.
Kheri ya Karume Day!
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa.
Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote.
Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda.
Sihitaji kutaja list ya...
https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U
Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti kumbe yupo kwao.
Nakumbuka niliwahi kukutana na binti flani haikuwa rahisi kumpata, nimeshawahi...
Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za kiuana harakati, za kina maria sarungi, na mchungaji asiye na kanisa.
Helow!
Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka.
Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais
Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.
Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .
Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Mvulana Aliyependa Kusoma
Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja.
Shida nini sasa?
KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii.
Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu
Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake
https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
Habarini wandugu,
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi.
unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
Wakuu
Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa.
Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu?
Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili?
Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya...
Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO.
LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.