msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Barabara na Daraja la Zege Ruvuma Kuunganisha Tanzania na Msumbiji

    SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
  3. Suley2019

    Dola bilioni 2 za DP World zaidhinishwa kufanya upanuzi wa Bandari ya Msumbiji

    Bandari ya Maputo, Msumbiji Msumbiji imeidhinisha mkataba mrefu kwa DP World Ltd., Grindrod Ltd. na watoa huduma wengine wa bandari kubwa zaidi nchini mwake, ikiwa ni pamoja na upanuzi wa dola bilioni 2 utakaosababisha kuhamishwa kwa mizigo kutoka miundombinu ya biashara iliyochakaa ya Afrika...
  4. The Assassin

    Elon Musk: Starlink sasa yaingia Msumbiji

    Huduma ya internet ya bei nafuu na yenye kasi kubwa ya Bwana Elon Musk ya Starlink sasa inapatikana Msumbiji. Sasa karibu nchi zote zinazoizunguka Tanzania zina Starlink. Tanzania tunasubiri Elon Musk aje ajenge ofisi Tanzania kwanza. Huduma ya Starlink inanunuliwa kwa dollar 500 sawa na...
  5. Objective football

    Kisa cha kweli kilichompata braza akijitafuta kuelekea Msumbiji

    Part:1 Sisi jinsia ya kiume ,tunapitia mengi sana katika harakati za kupata unafuu wa kiuchumi na kusimamia familia bora. kwa ukanda wetu sisi wakusini age ya 18- 24 unaweza ukawa ndio umri ambao unakumbatia starehe karibia zote ikiwemo pombe na totozi. lakin 25+ aiseeh vijana wengi huanza...
  6. M

    Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  7. Hismastersvoice

    Bandari iliyoboreshwa ya Nacala Msumbiji inazinduliwa leo

    Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi hizi, je tutarajie nini kwenye bandari yetu ya Dar es Salaam? CCM ni kikwazo kwa maendeleo ya...
  8. GENTAMYCINE

    Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

    Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%. Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo...
  9. Roving Journalist

    Tanzania, Msumbiji zakubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya Ulinzi na Usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza baada ya kufunga Mkutano wa ulinzi na Usalama baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, amesema: Tulikuwa na kikao cha tano cha Kamati ya Pamoja ya...
  10. Roving Journalist

    Rais Nyusi arejea nchini Msumbiji baada ya kumalizika kwa Mkutano Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi ameondoka nchini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 25 na 26 Julai, 2023. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  11. The Khoisan

    Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  12. K

    Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Habari wakuu, Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus). Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko? Naomba kuwasilisha.
  13. Suley2019

    Msumbiji: Akutwa na kichwa na viungo vya siri vya mtu kwenye mfuko

    JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo. Msemaji wa kamandi ya polisi ya Sofala, Dércio Chacate, amesema Watoto waligundua sehemu za miili hiyo kwenye mfuko wa plastiki...
  14. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  15. BARD AI

    Botswana: Serikali yakanusha kutelekeza Wanajeshi wake vitani Msumbiji

    Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi. Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi...
  16. GENTAMYCINE

    Malawi na Msumbiji si mbali na Tanzania 'Kijiografia' je, tumeshajiandaa kama 'Fred' akijipenyeza au 'tunambwelambwela' tu?

    Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
  17. JanguKamaJangu

    Kimbunga Freddy chaua watu 109 Malawi na Msumbiji

    Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi. Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
  18. JanguKamaJangu

    Kimbunga Freddy chaendelea kusababisha athari Msumbiji

    Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari kusitisha kutoa huduma huku zaidi ya watu 171,000 wakiathiriwa. Picha za satellite zinaonesha mvua...
  19. JanguKamaJangu

    Msumbiji hatarini kukumbwa na mafuriko makubwa kutokana na Kimbunga Freddy

    Kimbunga hicho ambacho kimetokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita kinaendelea na kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi. Kwa sasa kimbuga hicho kipo Kusini mwa Msumbiji na Pwani ya Madagascar kikiwa na kasi ya kilometa 160 kwa...
  20. ChoiceVariable

    Msumbiji: Mchungaji afariki dunia akijaribu kufikia rekodi ya Yesu ya Siku 40

    Kudos Wadau. Tunaendelea na vituko vya Walokole. Mchungaji mmja aliyejulikana Kwa jina la Francisco Barajah wa huko Msumbiji amefariki akiwa kwenye mfungo wa siku 40 Akijaribu kuifikia rekodi ya Bwn.Yesu. Nyie Wachungaji Yesu alikuwa ni roho nyie mnaigiza mambo yaliyo Nje ya uwezo wenu. Hawa...
Back
Top Bottom