momba

Momba Station is a pastoral lease that operates as a sheep station in New South Wales. The property is situated approximately 42 kilometres (26 mi) south east of White Cliffs and 66 kilometres (41 mi) north east of Wilcannia.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    KERO Wananchi Momba hatuna maji safi na salama tunatumia maji na wanyama

    Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na wanyama kwenye Mto Nkana. Soma Pia: Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata...
  2. Z

    Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

    Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba...
  3. JanguKamaJangu

    Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

    Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda...
  4. A

    DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
  5. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya Momba walazimishwa kuhudhuria Sherehe za Muungano kwa gharama zao

    Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024. Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester na DG RUWASA, Kivegalo Wafika Chilulumo, Ivuna na Kamsamba Kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Maji Vijijini Jimboni Momba

    MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
  7. Stephano Mgendanyi

    Momba: DG RUWASA Afika Jimbo la Momba Kutatua Kero ya Ukosefu wa Maji Kata ya Ndalambo na Msangano

    MOMBA: DG RUWASA AFIKA JIMBO LA MOMBA KUTATUA KERO YA UKOSEFU WA MAJI Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement Kivegalo amesema Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia 79.7 lakini kwa Jimbo la Momba Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama ni sawa na asilimia 51...
  8. DodomaTZ

    Wana Momba wakataa uzushi wa Mbunge wao

    Waswahili walisema msafiri alikiri "mwenda pole hajikwai" alaa akijikwaa haanguki na kama akianguka kuumia kwake ni kidogo tu. Usemi huu ni matokeo ya uzoefu wa safari ndefu ya maisha ya babu zetu walioishi miongo na Karne zilizopita nasi twauishi na kuakisi uzoefu wa maisha hayo kwakuwa hakuna...
Back
Top Bottom