Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.
HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU
Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto.
Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga.
Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao.
Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015
Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948.
Kushoto waliokaa ni Hassan Machakaomo, Selemani Mwinyimadi Chambuso, Mohamed ''Mabosti'' Sultan.
Waliokaa kwenye viti...
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS.
Tumekuwa tukiwaandama marais...
Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar.
Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib
Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
HAMZA KASONGO ON SUNDAY MAZUNGUMZO NA MOHAMED SAID KITARUDIWA JUMAMOSI 2 JANUARI 2021 SAA TISA MCHANA
Marudio ya "Hamza Kassongo on Sunday," TVE kitarushwa In Shaa Allah Jumamosi ijayo saa tisa mchana mada ni "Mchakato wa Uhuru."
Kipindi cha saa nzima tunazungumza historia ya kujikomboa kwa...
Habari wakuu,
Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa wanadeal zaidi na digital works kama e-newspaper, YouTube chanels n.k. Hivyo nimeandaa matukio 10 yalowahi...
Mahajub Adam Mohamed ambaye pia alifahamika kwa jina la Bayume Mohmed Husen alizaliwa Dar es Salaam mwaka 1904 kipindi hiko Tanganyika ikiwa ni koloni la Ujerumani
Bayume alipigana vita ya Kwanza ya Dunia mwaka 1914 akiwa na miaka kumi. Kipindi hicho wanajeshi watoto walitumika kutoa ishara...
Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile.
Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa.
Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number?
MUNGU TUNUSURU
---
---
---...
Vuguvugu la uchaguzi limeleta mambo mengi sana mwaka huu. Kati ya hayo mojawapo ikiwa ni viongozi wa dini kutupiana maneno hadharani. Uhasama kati ya viongozi hawa wawili ulianza pale sheikh Alhad Mussa alivyomuombea dua ya "kipekee" mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli. Hata hivyo...
Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii.
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi.
Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
Nimewasoma Godbless Lema na John Heche wote wakiwa ni wanachama wa Chadema kule twitter wakimlalamikia Mohamed Dewji anayeimiliki klabu ya Simba (49%) kwa kuipigia kampeni CCM kwenye Simba Day.
Nawakumbusha tu Chadema kwamba Dewji ni mwanachama halali wa CCM aliyezaliwa mkoani Singida pamoja na...
Niliwahi kuandika Uzi kuhusu kisa hiki.
In case hukupata bahati ya kusoma uzi huo then let me refresh ur memory.
Ni hivi nilifahamiana na Halima Hussein in 1995. I was 10 and she was 9. I was @ Std 4 & she was @ std 3. Nilipo muona Halima Hussein kwa Mara ya kwanza, macho yangu...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea Mwenza, Mashavu Alawi Haji katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 10, 2020. Chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.