Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.
Wakili msomi Maduhu...
Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli?
Sasa...
Kwa wale mnaofanya kazi na mashirika ya kimataifa bila shaka mnajua sheria kali sana za Ulaya kuhusu rushwa, au dalili za kutoa rushwa au 10%, hasa kwenye mambo ya tenda. Ni wakali sana.
Kwa kampuni za Ulaya hata kama ziko nchi kama Tanzania, ikionekana kuna kiashiria chochote cha rushwa kwenye...
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.
Pia katika Uwizi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme TANZANIA yaani TANESCO , Mhandisi Gissima Nyamuhanga Jana Usiku alipata Ajali ya Gari na kufariki hapo hapo, akiwa anatokea mikoa ya Kanda Ya Ziwa. pia Dereva wake naye amefariki,
Hizi ajali Tanzania zimekuwa zikimaliza watu, kwakweli sijui tufanye kitu...
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=)
Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme
Wamesema Muda ni saa 4:00 ila mpaka muda huu naona Kimya TANESCO
Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63.
Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
Deo Mushi kada was CCM na Diwani wa zamani wa Kata ya Kibosho Magharibi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi Vijijini kuacha mzaha juu ya uuzwaji wa shamba la Shule ya msingi WERENI.
Shamba hilo ambalo miaka mingi limekuwa likitumiwa kwa ajili ya kulima mahindi kwa ajili ya wanafunzi wa...
Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika.
Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa.
Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.