mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mjasiriamali mdogo

    Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  2. Jobless_Billionaire

    Mjadala: Siku ya mwisho ya hukumu, watakaoenda peponi watakuwa na utambuzi walionao sasa au watafutiwa kumbukumbu zote?

    Wakuu habari za wakati huu. Samahani, nimekuja na mjadala tata kidogo ila nitafurahi kama wachangiaji watatoa hoja zenye mantiki tofauti na kuzozana pasipo misingi. Sijasimamia upande wowote, kila upande uwe huru kutoa hoja zao ili nipate kujifunza jambo. Kikubwa tu hoja ijibiwe kwa hoja. Kwa...
  3. Side Makini Entertainer

    Hoja na Mjadala dhidi ya Mafia Boxing Promotion

    Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
  4. Nandagala One

    Rais Samia,Kuzima Mjadala wa CHADEMA, wateue BAMBO na KINGWENDU.

    Heri ya Christmas Wanajamvi. Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa. Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika majuma kadhaa yaliopita ,kutopata coverage ya kutosha kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Habari...
  5. T

    Je, unaelewa nini katika mjadala huu?

    https://youtu.be/HmKR8SPt17s?si=6EjcTzcwTVzyOeum
  6. J

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  7. J

    Mjadala: Mbinu Madhubuti za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza - Desemba 6, 2024

    Wakuu, leo Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums tutashiriki mjadala muhimu utakaohusu Mbinu za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza. Mjadala huu unalenga kutoa elimu, kuongeza uelewa, na kuchochea hatua za pamoja katika kukabiliana na changamoto hii ya kijamii...
  8. Venus Star

    Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  9. B M F ICONIC

    MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

    Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi? Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...
  10. S

    Makonda (Bashite )anatumika kuhamisha mjadala wa gorofa kuporomoka Kariakoo

    Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya. Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
  11. Mohamed Said

    Mjadala Wangu na Marehemu Mayanja Kiwanuka 1988

    MJADALA WANGU NA MAREHEMU DR. KATAROGE MAYANJA KIWANUKA (AHMED KIWANUKA) 1988 Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu: ‘’Historia hii itufunze mambo mengi. Kafa Kiwanuka alikuwa mwanajeshi hadi cheo cha Captain. Alikuwa Mshauri wa Rais Mkapa, alikuwa Mkuu wa Mkoa...
  12. Malaria 2

    Wasioamini uwepo wa Mungu walivyobanwa katika mjadala

    Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu. Jibu alilojibiwa Jee hayupo au humjui kutokana na upeo wenu mdogo? Wakaulizwa twambieni, ndani ya chumba kinachofuata mnajua mnanini...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

    Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri. Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo. Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024. Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
  14. B

    Wapo wanaosema wanawake wakae nyumbani kutunza familia na wapo wanaosema mwanamke afanye kazi. Tuwekane sawa

    Sasa A. Proposers wanasema mwanamke afanye Kazi. 1. Na hoja yao ya msingi ni 50/50 kimajukumu. 2. Hoja ya nyongeza ni wanawake wafanye kazi ili kujikeep busy. 👉 kundi hili wanasema mwanamke anae kaa nyumbani ni rahisi kufanya ufuska lakini pia ni mzigo (wahenga wakisema an idle mind is the...
  15. Komeo Lachuma

    Azam kashakubali kichapo. Haina mjadala hiyo. Anacheza na Team ya Taifa. Ahadi yangu

    Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona. Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto. Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa...
  16. Mzee wa Code

    Bei ya kunganisha umeme mjadala Bungeni, Wabunge wahoji kwanini haibadiliki?

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo bei hiyo ni shilingi 320,000. Akijibu swali la Mbunge wa Korogwe, Timotheo Mzava, Naibu Waziri Judith...
  17. B

    Derby kati ya waliopo na waliotoka kwenye ndoa VS wanaotaka kuoa

    Wanajf habar gani? Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers. Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali 1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji -Wengine wanasema wasiwasi ndo akili - Wengine wanasema akikupenda mama...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

    Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka. Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri. Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
  19. MIXOLOGIST

    MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
Back
Top Bottom