Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025
https://www.youtube.com/live/gAjsgbCq2bk?si=LaIvybljqEOfO_fY
Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema kuwa...
Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea!
Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo yaliyofanikishwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya mikutano ya hadhara kuanzia vitongojini, vijijini...
Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana na kujadili masuala ya mbalimbali ya kitaifa.
Kama njia muhimu ya kutekeleza demokrasia ya...
Wakuu,
Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂
Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa wanaitukutuza CCM hawatokei. Vijana hawa tunaowana wanajitoa akili saivi hata vumbi lao hutaliona...
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa.
2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii.
Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
TANGAZO LA JOHN MNYIKA
Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2. Alfred Kinyondo
3. Prof. Azaveli Lwaitama
4. Wakili Edson Mbogoro
5. Francis Mushi
6. Lumuli...
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
Kwenye hotuba yake ya kutangaza kuendelea kuutaka uongozi wa CHADEMA, alisema kuwa kuna watu wanasema Mbowe amechoka, katika kulijibu hilo, akasema kuwa yeye bado ana nguvu, ana uwezo wa kufanya mikutano hadi 8 kwa siku, na kwamba, hao wanaosema amechoka, wamwambie ni nani anaweza kufanya hivyo...
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 25 Novemba 2024, ameshiriki Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya Magu, kwa kuwanadi na kuwaombea kura Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Vitongoji, Mitaa, pamoja na...
CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.