Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu.
Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo.
Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
Wakuu habarini za mchana.
Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa". Kusema ukweli ile kitu ni tamu sana bila kutumia co.nd.om lakini tunaogopa hili...
Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu
Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi
Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo
Cha kwanza
Ni madaraka ya Rais
Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi...
All in all Sheri ngowi kazini kwake kuna kazi . Baada ya simba kuchukua designers wake wa jezi . Jamaa kila design mpya ni mbovu . Amerudia sana Jezi mpya . Inshort sio talent yake anatafuta pakutokea .
New Jersey is late because investors weren't impressed with Jersey's design. Sheria Ngowi...
Heshima sana wana jamvi,
NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa.
Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine.
Huduma ya...
Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego.
Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa.
Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
Kuna council hawajui tu kutengeneza barabara wao hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya za tanroad unakuta wanasubiri MWENGE upite ndo iburuzwe. kwangu mimi aisee nikiwa kama mkazi wa kusini halmshauri ya nachingwea na tunduru wanazingua sana Tena wilaya kongwe na zenye kila kitu mazao...
Kero
Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu,
Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara.
Naomba kufikisha/ kusema/ kuwasilisha kero yangu kutoka mojawapo ya kampuni ya kifedha (African corporation Bank,ABC) inayotoa...
Hii kampuni inatia hasara sana watu. Unatuma pesa inajibu UNFINISHED kwa maana ya jwamba haijakamilika kumbe pesa zimekwenda hivyo unajikuta unatuma mara ya pili. Unatuma pesa kwa mteja ujumbe hapati mpaka aanze kuangalia salio. Ni usumbufu mkubwa hasa kwa mawakala inabidi kampuni ifanyie kazi...
Mfumo wa Elimu tulionao hapa Afrika hatukuutengeneza sisi wenyewe bali maadui zetu, hivyo kamwe usitegemee adui yako akupe elimu nzuri. Akupe elimu nzuri ili umpindue? Wazungu walipokuja kwa mara ya kwanza hapa Afrika, walitukuta tuna mfumo wa elimu wa ujuzi na badala yake wakauua na kutupa...
“Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.”
“Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
Huu ndio muonekano wa Barabara ya kutoka Tabora Mjini kwenda kwenye Kata za Igalula, Goweko, Nsololo na Nyahua iliyo Wilaya jirani ya Sikonge.
Barabara hii ndio kama kiungo kikubwa cha Huduma za Jamii kwa maeneo hayo lakini kwa sasa Wananchi wanapata adha ya usafiri kutokana na ubovu wa...
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
Habari wadau.
Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa!
Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena!
Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa...
Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa??
Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu.
Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee.
Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
"Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe?
Ukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.