The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.
Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa...
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.
Hii mbinu ninaona italeta...
Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
Habari watanzania poleni kwa usumbufu nilikua nashida ya kufahamu haya Mawe naweza kuyapata wapi Tanzania mwenye msaada wowote ule anisaidie hata maelezo kuhusu haya Mawe asanteni.
Chama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa!
Kinampango wa kukamata dola? Kwa staili hii watakamata dola?
Kama watakamata dola itakuwa lini? Maana kama baada ya miaka ishirini ndio wanaanza ujenzi...
TANZANIA NA MAAJABU YAKE
Ni kweli usiopingika kuwa mazingira yetu yana mambo mengi ya kustaajabisha na kuvutia, kwa siku chache zilizopita nilielezea kuhusu uwepo wa ziwa lenye rangi ya pinki ambalo linapatikana Bara la Australia, kwa mshangao wa ajabu kabisa nikaja kugundua kuwa hata hapa...
Kipindi cha JK kulikuwa na pilika pilika kuhusu huu mradi. NSSF walikuwa bize sana ili waukamilishe.
Kwa enzi hizo, 600 MW ilikua kama nusu ya umeme wote tuliokuwa tunazalisha.
Ikumbukwe kuwa umeme wa makaa bado unatumika sana duniani. Karibu asilimia 40 ya umeme duniani unatikana na makaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.