Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani...
Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote.
Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
Mawakili wanaomwakilisha aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jana walichuana vikali na mawakili wa upande wa Jamhuri wakati wa usikilizwaji wa rufaa ya kupinga Sabaya kuachiliwa huru iliyokatwa na upande wa Jamhuri.
Sabaya na wenzake walihukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu
Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania (AG), Dk Eliezer Feleshi amewataka mawakili wa Serikali kujitathimini kama wanaendana na dhima na kujitosheleza kwa nafasi walizopewa. Dk Felishi amesema hayo leo Jumatano, Septemba 28, 2022 wakati akifungua mkutano wa mawakili wa Serikali ulioandaliwa na...
Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote.
Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu.
1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI
Sheria...
Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths?
Je, Mawakili wa Serikali au Wanasheria walio katika utumishi wa umma wanaruhusiwa kusajiliwa na kuingizwa katika Daftari la...
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
Habari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
Zamani sheria ilifundishwa pale UDSM " Mlimani" na IDM Mzumbe na kwa wakati ule tuliweza kuwatofautisha wale wa Mlimani na Mzumbe.
Kwa sasa vyuo vya sheria ni vingi sana kikiwemo kile cha mahakama Lushoto, Tanga.
Ninapofuatilia hii kesi ya Mbowe mahakama ya mafisadi nawaona mawakili wa utetezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.