masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  2. Chief Godlove

    Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  3. GoldDhahabu

    Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  4. Morning_star

    Tambua mifumo mikubwa inayofanya watanzania kuendelea kuwa masikini!

    Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini ili asione wala kusikia ukweli kuhusu hali yake ya umasiki na akijaribu kujitambua na kupambana...
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    Masikini Wenzangu - Ngwair

    MASIKINI WEZANGU - NGWEA. Wachache ndo wanaishi wengine maescorts/ Twiga wanapanda pipa hata bila ya passports / Mikoa mingi bado haina hata airports / Zaidi ya migodini madini kuyaexport / Bila ya wazawa kufaidika / Ndo mana Wanzanzibara wamechoka kutanga na nyika / Big up Mandela leo South...
  6. Waufukweni

    Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

    Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha. "Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
  7. B

    Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na masikini

    Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa "Wewe ni mtu tajiri zaidi duniani je unaweza kuruhusu binti yako aolewe na masikini?" Billy akajibu...
  8. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  9. G

    Kama kipindi cha Mzee Kikwete haujakamata pesa na awamu ya sasa bado unasota, hesabia utakufa masikini

    Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa. Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case. hii...
  10. NguoYaSikuKuu

    Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  11. Magical power

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  12. Manfried

    Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  13. Man Middo tz

    Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  14. Waufukweni

    Waziri Aweso: Familia yangu ni masikini, nimepata Uwaziri kutokana na elimu

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni rasmi. Akizungumza katika hafla hiyo, Aweso amesema: "Mimi familia yangu ni masikini, nimefikia...
  15. CARIFONIA

    Dah! Masikini Man City

    Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa. Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
  16. Manfried

    Kitu kinaitwa 'Job Security' kimewafanya watu wamekuwa masikini

    MTU unapata dili ambalo litakupa mil 50 Kwa miaka miwili then unalikataa kisa eti job security!? Yaani Kijana unakimbilia kufanya Kazi kijijini ya ualimu ambayo itakupa mil 7 Kwa mwaka huku ukijifariji na kitu kinaitwa Job Security. Don't bury ur dreams homie Job security ni Kwa ajili ya watu...
  17. Loading failed

    Misiba ya matajiri vs misiba ya masikini

    Ndugu zangu.. Kumekua na tabia mbaya ya watu kuhudhuria kwenye misiba kwa kubagua kutokana na itikadi zao na hali ya kiuchumi ya marehemu au familia na ukoo wa harehemu husika kama tunavyojionea huko kwenye jamii zetu. Ndugu utakuta kwenye misiba ya familia zinazojiweza kiuchumi watu...
  18. Sir John Roberts

    Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  19. Chief Godlove

    Inakuwaje mtu mzima kuwa masikini?

    Aisee hii kitu huwa nakaa najiuliza hivi inakuaje dume Zima umri umeenda ni masikini halafu anajisifia umri umeenda halafu mkewe anakuja kuomba pesa Kwa mtoto mdogo mwenye pesa nyingi kama mimi. Oya nyie tafuteni hela lasivyo wake zenu ni halali yetu sisi watoto wadogo wenye pesa nyingi...
  20. Wambandwa

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
Back
Top Bottom