mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kama kwenye mashindano ya kiume haupo na ya wanawake( mama zako) haupo wewe utakuwa jinsia gani?

    Nawauliza mnaobeza mashindano ya kimataifa kwa kuyaita ya akina mama,timu yako iko kwenye mashindano ya jinsia gani? Maana ya kiume haupo uliishia wapi mi sijui. Wababe hufika kwenye nane bora kila wakishiriki. Wewe ambaye haupo kote ni jinsia gani? Au ndio mashoga ndio maana mnajisifu kwa...
  2. Mshana Jr

    Hisroria ya mashindano ya ulimbwende Tanganyika..! Rip Hashim Lundenga

    Mwaka 1967 yalifanyika mashindano ya urembo kwa mara ya kwanza nchini, na dada Theresia Shayo akabeba taji. Mwalimu Nyerere akayapiga marufuku kwa madai kwamba yalikuwa yanaendeleza ukoloni mamboleo na yanatweza utu wa mwanamke. Miaka 27 baadaye, mwaka 1994, Mzee Ruksa akayaruhusu. Lundenga...
  3. R

    Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
  4. Faana

    Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

    NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Mashindano ya kufuturisha: Waislam are you happy?

    Kila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha. Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe? Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe? Mbaya zaidi...
  6. Dennis Roberts

    Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

    Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya...
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye. Akitangaza kwa watanzania Shekh Kishki alimpongeza Mheshimiwa Makonda kwani toka kipindi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar aliwaunga mkono...
  8. Teko Modise

    Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani. Leo ni...
  9. B

    Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  10. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  11. M

    Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

    Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
  12. J

    Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

    Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia Karibuni sana https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
  13. ngara23

    Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  14. M

    Pongezi kwa Eng. Hersi kwa kuchaguliwa mjumbe Kamati ya Mashindano CAF!

    Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
  15. ngara23

    Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

    Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo Haya mashindano...
  16. Valencia_UPV

    Tetesi: Mashindano ya Malkia wa Nguvu kufanyika Australia

    Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support. ***Kwa wanaotaka kuhudhuria punde utaratibu (viza, malazi na nauli) utatolewa
  17. kavulata

    Simba wakumbushwe mashindano wanayoshiriki

    Inaonekana kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya CAF ya aina Moja yenye ukubwa na hadhi Moja CAF. Tambo na furaha ya Simba ni kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya aina Moja .Tuwakumnushe Simba kuwa wao wanashiriki kashindano ka CAF kanakoitwa shirikisho (CAF...
  18. T

    Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  19. sergio 5

    Nani anatumia jina la Zawadi Mauya pale Yanga kwenye mashindano ya CAF Champions League?

    Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
Back
Top Bottom