Habari Wana JamiiForums
Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano
• Kipato
• Chumba uwe umepanga
• Shughuli yoyote itakayokuweka ubize
Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia:
1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
Eti ni udhaifu 🤷🏾
Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa?
Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako?
Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
Habarini za weeknd wana JF
Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ?
Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
Kwa kweli;
Ni mara nyingi wanaume ndio wanahangaika kutafuta wake na wapenzi.
Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao hawavutiwi sana na mapenzi au uhusiano wa dhati, bali wanatafuta msaada wa kifedha.
Wanawake hawa mara nyingi wanatafuta mtu wa kulipia gharama zao, mfadhili wa maisha yao...
Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha .
hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️
Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula.
Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta...
Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani
Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake).
Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni mwendo wa kutokukata tamaa na kukubali kushindwa kirahisi. Ukipata demu au mwanaume usikubali kukataa...
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.
Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
Wengi huwa tunashindwa kulitambua hili, hasa pale tunapokuwa wapofu wa huko tuendako.
Ndipo wahenga wakaja na msemo, ukiona nyani mzee juwa amekwepa mishale mingi.
Ikitokea mtu amekuja kwako kimahusiano, mpokee vizuri na umjibu vizuri kama kuna kisababishi chochote kitakacho kwamisha mahusiano...
Naomba nianze moja kwa moja, tuchukulie mfano wa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukiona unabadilisha sana partners mara kwa mara ndani ya muda mfupi mfupi jipe muda wa kujitathmini wewe mhusika (Holder)
Binadamu kwa hulka yetu huwa tunajiona tuko sahihi wakati wote kiasi cha kutaka wanadamu...
Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing
Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time
Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time)
Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100%
Chanzo kikuu ni hiki hapa;-
1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo...
Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba.
95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. .
5% ya wazazi hawawakubali wapenzi wa watoto zao .
Anayekwambia "sitaweza kuishi bila wewe" ataendelea kuishi maisha yake...
Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa
Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha yanaenda(siwi na mwanamke mwingine)
Sasa kitu kinachoniuma ni kwamba anajitambua sana, ana hekima sana kifupi...
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume.
************************
Muhimu sana kuzingatia
Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za...
Mapenzi Shikamoo!
Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini...
Mke alipekua simu ya mumewe akakuta haya majina;
1. Tender one (Mwangalizi mwema)
2. Amazing one (Mtu mwema)
3. Lady of my dreams (Mwanamke wa ndoto zangu)
Akahisi ni michepuko ya mumewe. Akampigia "Tender one" akapokea mama mkwe (mama wa mumewe). Akampigia "Amazing one" akapokea wifi yake...
Hello wanajf
Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko tayari kumsuburia mdada njiani masaa 3 huku tukiumwa na mbu na kumfukuzia miezi 8 hata miaka,, ili tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.