maajabu

  1. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  2. unimaginable

    Maajabu ya Ajira za Kampuni ya Nature's way

    Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata. Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi leo hii ndugu yangu mmoja kunipigia akiniomba pesa ili kufanikisha habari zake za ajira ktk kampuni...
  3. BARA BARA YA 5

    MAAJABU YA UNGA WA MWANI

    Dear, Nimekuwa muhanga wa tumbo kujaa gesi kwa muda mrefu, nikatambulishwa bidhaa ya mwani( seaweeds) toka nimeanza kutumia naona mabadiliko makubwa ya; 1.Gesi imekata kabisa 2.Pressure iko regulated vizuri. 3.Joint zimekuwa imara. 4. Yale mambo yetu ndio usisema. Tubadilike ndugu zangu tuanze...
  4. N

    Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

    Hivi wakuu, ni sayansi au ni kitu gani au wana kipi special wendawazimu na vichaa, kiasi kwamba wanakula vyakula vibovu majalalani, lakin kamwe hawaumwi typhod fever wala cholera, Jana nilikuwa Morogoro kule hospitali ya mkoa nikakutana na kichaa mmoja, yule kichaa tangu utoto wetu,mpaka sasa...
  5. John Gregory

    Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  6. badison

    Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

    Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.
  7. K

    Tanzania maajabu nchi ya kidemokrasia Rais kuwa na nguvu ya hivi!

    Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
  8. Gidabed

    Maajabu ya kampuni ya safe land world investment

    Wakuu natumai mpo salama otherwise poleni na majukumu. Kuna kampuni moja inafahamika kwa jina la safe land world investment,inasadikika ni kampuni inayohusika na masuala ya uwekezaji ambapo unawekeza pesa yako na kuisubiria kwa muda wa siku takribani 170. Kwa mujibu wa kampuni hii kiwango cha...
  9. Kurunzi

    Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

    Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana. Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi...
  10. Artifact Collector

    Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana Haya kwangu ni maajabu Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
  11. Jidu La Mabambasi

    Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  12. O

    Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze. --- Kitayosce FC ilianza mechi dhidi ya Azam ikiwa na wachezaji nane [8], Bodi ya Ligi tulipokea uthibitisho kutoka TFF kuwa wachezaji nane [8] tu wa Kitayosce ndio wanastahili kucheza mechi ya Ligi. Kikanuni...
  13. B

    John Heche: Lissu anatembea na Maajabu, Ukimjaribu Utaondoka wewe

    Akihutubia Umati wa watu wengi waliokusanyika kusikiliza Mkutano wenye lengo la kuelimisha wananchi juu ya Mkataba wa DP World na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama agizo la serikali liliowataka wadau mbali mbali wajitokeze kutoa Elimu. Leo walikuwa Chato Kata ya Mganza ambapo ni Nyumbani kwa...
  14. K

    Ndoa za makaburi janga kwa wanawake, watoto mkoani Mara

    Kwa jamii ya Wakurya wanaoishi katika Wilaya za Tarime, Butiama, Rorya na Serengeti ni jambo la kawaida kuona familia ikichumbia na kuoa binti kwa ajili ya kijana wake wa kiume alifariki dunia kabla ya ndoa, lakini akiwa amefikia umri wa kuoa lakini. Ndoa za aina hiyo hujulikana kama ndoa ya...
  15. S

    Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  16. Jackal

    Maajabu Ya Mawe Yaliyo Hai Ya Romania:Yanakua,Kuongezeka Na Kupumua!

    https://www.thearchaeologist.org/blog/the-mystery-of-romanias-living-stones-they-grow-reproduce-and-breathe
  17. B

    Haya ndio maajabu ambayo yanapatikana Tanzania tu

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna Mambo ambayo kwa uelewa wangu mdogo nimeshangaa yanatokea Tanzania tu, sijui kwa nchi zingine 1. Fine za barabarani Bodoboda na bajaji ndio wanaoongoza kuvunja sheria, ila eti kwa vile ni vyombo vidogo, eti vilipunguziwa fine hadi elfu 10. Kwani tunaangalia ukubwa...
  18. I

    SoC03 Maajabu matatu (3) yenye nguvu ya kutisha yaliyoifanya familia masikini kuikopesha Marekani

    Hapo zamani za kale pembezoni mwa upwa wa bahari ya hindi kulikua na familia ya wabantu. Familia hiyo kwa umaarufu wake wa kumiliki kila aina ya vito vya thamani hata vile visivyoweza kupatikana kwa malimwengu yote yaani tanzanite, vilipelekea familia za walowezi kutumia mabavu kujimilikisha...
  19. R-K-O

    Maajabu ya kiberiti kilivyonisaidia kuficha aibu ugenini

    Nakumbuka hapo miaka ya 2015 niliwahi kwenda ugenini siku 3 hivi kuufatilia mambo yangu, ilinibidi niende kwa mjomba wangu alieniasa niende kwake. Sasa tatizo nililokuwa nalo enzo hizo kinyesi changu kilikuwa kinanuka sana, yani nikitoka huko chooni ni kunanuka si kidogo, nilikuwa nakula...
Back
Top Bottom