Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo.
Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida,
Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k.
Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ?
Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ?
Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
Utangulizi
Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
Jana nimegundua quality ya tv imekuwa chini sana nikiwa nachek tbc na itv ,startv,sio kawaida nikajua labda ni tv yangu inashida,nikaona ngoja niende Kwa jiran kuangalia Ili nipate uhakika,nikabaini kumbe tatizo lipo pia Kwa jiran ,ila ukiingia Youtube quality IPO vizuri sana,na wote tunatumia...
Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi, japo yale madarasa ya chini la kwanza mpaka la nne.
Hivi ninavyoandika hapa mvua imenyesha usiku...
Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la ndoa la kujamiiana kimeshuka kwa 51% katika kipindi cha karibu miaka 50 iliyopita.
1. Uzito mkubwa wa mwili.
Mtu mwenye kitambi na uzito mkubwa huwa na mafuta zaidi kati uume, korodani na mirija ya mbegu na kuadhiri utengenezaji wa mbegu...
Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana.
Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
Kufaulu kwao kunashangaza wengi na wala hawanunui mitihan bali wanafanyiwa michujo mkali sana, yani ile ininterview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ambao ni vipanga wote ila wanahitajika 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga na bado kuna michujo mikali ya maksi za juu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa Asilimia 12.
Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP...
Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari.
Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar.
Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka...
Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022.
Dkt. Kikwete amesema hayo leo wakati akifungua kongamano la pili la kisayansi la afya ya uzazi mama na mtoto...
Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240.
-
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji...
Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20%
Tasfiri yake...
Wakuu,
kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati.
Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?”
Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku!
Unavyoamka kula...
Khabari zenu,
Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.
Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.