Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni hiyo kinara barani Afrika yenye wateja takribani millioni 22, ikiwa imetapakaa Karibu maeneo yote ya...
Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you may call me fanatic but football ndio ulevi wangu,
DStv vifurushi daily vinapanda kwa uchumi ulivyo...
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000.
Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha tuisome namba eeeehhh….
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10.
Kwenye mahojiano mafupi ya wawili...
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi...
Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024.
Uamuzi huo unafuatia...
Kuna vifaa vingi vinavyoingia tanzania kwa vile wapo sababu ya kukusanya pesa ndani ya chama ila ndio tatizo.
Niliagiza ving'amuzi ambacho unalipa kwa mfumo wa crypto kinafanya channel zote dstv na azam ili mradi tu kuwa na dishi yenye masafa uweelekeo.
bado nasisitizia dola tutaisikia mtaani
Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne.
Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo.
Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
Kwema wakuu,
Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.
Habari Wakuu,
Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
Wakuu, kama bado hukuwa na taarifa ya kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maisha Magic Bongo ndani ya DSTV Barbara Kambogi na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite, tafadhali pitia hapa...
Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe?
Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.