Uchawa umeondoa utu, kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele.
Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini, CCMuni, CHADEMAni au mitaani.
Haijarishi anaumiza, kutesa na kukosesha haki wananchi wenzake kwa kiasi gani kikubwa amfurahishe bosi wake.
Chawa...
Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini.
Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR.
Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..?
yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi hiki kwa chama ambacho wala hakuna mweye mpango nacho kama hao watu wanaotekwa au kuchukuliwa na watu...
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan.
Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
Salaam Wakuu,
Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana.
Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii.
Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar.
Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi.
Wafanyabiashara...
WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥
Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko.
Nabii Musa pamoja na miujiza yote aliyojaaliwa,alikuwa na mtumishi mmoja tu tena kijana wakiume,yaani Joshua.Nabii Eliya naye...
Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO.
Chanzo: DW...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro Said Nguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana wa
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu...
Kuna steji imefika au ni matokeo ya uwoga uliopo nchi hii sijui umetengenezwa na muendelezo wa watawala.
Ukiangalia matendo yaliyopo kwenye kuuliza ukweli au makosa ni kama wewe ndio umekuwa kosa,kuanzia kwenye utendaji mpaka wananchi wenyewe.
Uwoga ulitengenezwa nchi hii umepata bidhaa mpya ya...
Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know.
Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi.
Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeonyesha kwa kiwango kikubwa wasomi wake kupoteza mwelekeo kutokana na neno uchawa.
Haina...
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.
Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha pia Credibility ya hii Media ya Bamaga Dar es Salaam ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.