Kwa wauzaji wa vifaa vya simu wa jumla na rejareja nimekuja na suruhisho jipatie vifaa vya simu vyote kwa bei za viwandani kama ukichukua mzigo mwingi kutoka kwetu
Kupitia sisi utapata fast charg kuanzia tsh 1800 utapata SMARTWHATCH kuanzia tsh 14000 utapata cover za simu kuanzia tsh 800...
Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na wachina na kutumikishwa kama mbwa
Kuna viwanda vipo huko kibaha watu wanalambwa viboko wakizingua...
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa Gesi Nchini.
Ushauri huo, umetolewa hii leo Machi 15, 2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, David...
Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa.
Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini.
Roboti...
Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi minimum,namna ya kuweka order na utofauti wa Bei maybe ukilinganisha na ya wholesalers Huwa inarange...
Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA) ambacho kwa ufupi kunatambulika kwa jina la NPC KIUTA wanapitia wakati mgumu, baadhi yao wakiwa...
Wanaotaka huduma ya mizigo mikubwa(bulk goods) kutoka kiwandani China pre order mzigo unaotaka utlpia 60% mzigo unakuja na meli very cheap ukifka unamlzia Nina connection na watu wa viwandani
0713310711
Wakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni
Siasa?
Tanesco?
Maji?
Gesi?
Mitambo chakavu?
Hujuma?
Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.
Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa...
Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani.
Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka kampuni ya Total Tools ya nchini China.
Kwa shughuri zako zote mfano:
fabrication
modification
forging...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.