Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu.
Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili,
Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
Wakuu Mimi natumia Sim Card Moja tu kufanya Mawasiliano yangu yote, Pamoja na Kuwa simu yangu ina Support dual sim na Ina Esim capability ila still bado naona Furaha Kutumia Line Moja tu at a time, naona Hii pia inaipa simu yangu efficiency fulani
Simu yangu ina Line 6 ambazo ni Esim almost...
Wadau,
Nimeona akina Kitenge wakitangaza fursa ya mikopo kwa kampuni ya mitandao ya Tala. Napenda kujua kwa yeyote aliyewahi kuchukua mkopo Tala uzoefu wake ukoje, hasa kuhusu:
1. Kiwango cha mkopo: Je, ni kiwango gani mtu anaweza kuomba?
2. Riba: Riba yao imekaaje, na inalipwa...
Wanabodini Habari..
Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana??
Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.
Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.
Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...
Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana.
Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers.
Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani
Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo......
Disclaimer:
Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
Kazi ya UN JF
Kati ya Watu Milion 60 «Kuna kitu unakijua HAPO unataka wenzako tuwe wakimbizi Kukijua"
Fatima Adam Muhammad fled El Geneina in June 2023 after her teenage son was killed. She and her four surviving sons have found refuge at Aboutengue refug
Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo.
Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza Freeman Mbowe kwa kukiongoza chama kwa muda wote huo. Tafrija itafanyika kesho tarehe 23.01.2025 kuanzia...
Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa.
" Wote mliokatwa majina,
Wote mlioenguliwa,
Wote mtakaodhihakiwa,
Wote mnaopenda demokrasia pana,
Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM.
Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro...
Habari
Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.