mchambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    Mchambuzi Farhan, hivi ulichokiandika unamaanisha ni kweli hukujua? SIAMINI Ila huenda we ni kundi lile la wanafiki wapiga Mapambio mnaoogopa kukusoa

    Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi. Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike nchini Salama Ngale inahairishwa hairishwa tu sana?

    Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu. Haiingii Akilini yaani Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike wa Soka nchini Salama Ngale mpaka sasa imeshahairishwa...
  3. R

    Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

    Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya Kaizer Chief ni kufanya counter attack na kufunga kupitia cross au kona. Tulipocheza nao tulifungwa...
  4. U

    Mchambuzi Mbwaduke, Kila mchezaji anamsifia, hajawahi kukosoa

    Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu. Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa kuonekana ni shabiki wa timu Gani, japo Mimi najua. Na uchambuzi wake umejikita fair kabisa. Kutokana na...
  5. GENTAMYCINE

    Mchambuzi Edgar Kibwana wa CMG kama Kiingereza chako ni cha Kubabaisha kama Changu uwe unatumia Mbinu hii ili Usikikosee na Usishtukiwe kuwa hukijui

    Ukikutana na Mgeni hasa Mzungu au Mmarekani Mweusi halafu ukataka kufanya nae Mahojiano basi hakikisha Maswali yako yanakuwa ni mafupi mafupi na ya moja kwa moja sawa? Muda mfupi uliopita nimekusikia Sports Extra ya Clouds FM ukitumia dakika 5 nzima Kuzunguka Kuuliza Swali la Sekunde 10 au 15...
  6. Kiplayer

    Kila mtu ni mchambuzi wa soka

    Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
  7. GENTAMYCINE

    Kwani Edo Kumwembe ungesema taarifa hiyo umeitoa kwa GENTAMYCINE na JamiiForums ungepungukiwa nini?

    Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia Moses Phiri ataendelea kutopangwa na Kocha Robertinho basi nitamuanika hapa hapa Kiongozi wa Simba SC...
  8. GENTAMYCINE

    Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

    On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi? Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila...
  9. GENTAMYCINE

    Mchambuzi EFM na Rais wa Wapanda DalaDala Wilson Oruma: Simba wamesajili vyema kuliko Yanga

    "Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima. Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita. Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga...
  10. T

    Mchambuzi: Wapinzani Tanzania wajivue gamba siasa wanazofanya haziakisi utashi wao kutatua matatizo yaliyopo

    Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba. Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
  11. GENTAMYCINE

    Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

    Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story. Sasa...
  12. Teko Modise

    Ramadhan Mbwaduke ndio mchambuzi wangu bora kwa upande wa Tv

    Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana. Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM chini ya Mahamoud Bin Zubery. Haya yaliyotokea jana kwa Simba, Azam na Yanga alishayaongea toka ratiba...
  13. J

    Kwanini mchambuzi Oscar Oscar alifukuzwa kipindi cha michezo E FM?

    Wakuu nini kilichopelekea mchambuzi mahiri wa soka, Oscar Oscar kutimuliwa kwenye kipindi cha michezo cha E FM na kupelekwa vipindi vya wanawake vinavyozungumzia umbea? Maana sasa hivi anatangaza kipindi kimoja na Dina Marios!
  14. J

    Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  15. mugah di matheo

    Kaseja mchambuzi Clouds FM

    Juma Kaseja ameanza kuchambua mechi za mpira kupitia kituo cha radio cha Clouds FM. Ikumbukwe pia Kaseja aliestaafu mpira msimu uliyopita, ana leseni ya ukocha wa makipa inayotambuliwa na CAF. Unaonaje uwezo wa Kaseja?
  16. M

    Mchambuzi wa EFM Wilson Prima: Msemaji Ally Kamwe kaanza vibaya Haji Manara siyo na hatokuwa Mshabiki wa Yanga SC

    "Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara akiwa hapa hapa EFM alisema na kutuhakikishia kuwa Mwanae ni Simba SC lia lia pamoja na Dada yake'...
  17. GENTAMYCINE

    Mchambuzi Ally Kamwe Kaka zako tulikuonya kuacha Kujipendekeza Yanga SC, kwa Manara na kuwa Mnafiki ili uwe Msemaji wao hukusikia

    Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake. Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram...
  18. GENTAMYCINE

    Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

    Mtangazaji Maulid Kitenge Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya? Mchambuzi Jemedari Said Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri. Mtangazaji Maulid Kitenge...
  19. M

    Sasa ni wazi: Sifa ya kuwa mchambuzi wa soka hapa Tz ni kumiliki mdomo!

    Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao. Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!! Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka...
Back
Top Bottom