Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!!
Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu...
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
Kumeibuka utapeli mwingine hivi karibu wa upatu (ponzi scheme) ijulikanayo kama LBL ambako wananchi wengi wanaweka fedha zao ili kuvuna. Huu ni mwendelezo wa yale yaliyotokea awali kama Deci, QNet, ClubD9, Kalinda na Kuku.
Kabla wananchi wengi hawajawa wahanga wa uhalifu,tunaviomba vyombo vya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa)
Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi.
Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache
Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi)
Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja
Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida.
Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta.
Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?.
Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa...
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .
Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,
Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje.
Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya.
Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
Wanabodi (kwa sauti ya paskali),
Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni karibu zote kuchelewa kwa angalau saa moja, na vyombo vyote vya habari vilitangaza.
Baadae umeme...
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.
Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya.
Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati
Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
TAARIFA KWA UMMA
SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii
Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakiwadhalilisha na kuwapiga watembeza Watalii katika Bahari ya Kisiwa cha Mnemba...
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.