Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.
Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.
Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli
Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
Malipo ya kazi ya caregiver hutofautiana kulingana na mambo kadhaa, kama vile:
1. Mahali pa kazi: Malipo yanaweza kutofautiana kulingana na nchi, mji, au eneo la kazi. Kwa mfano, malipo ya caregiver katika miji mikubwa au nchi zinazoendelea kwa kiasi kikubwa yanaweza kuwa makubwa zaidi kuliko...
Samaleykum,
Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
Mimi nilikutana na matangazo haya ya ajira kwenye nguzo za umeme bhn mshahara 410k. Nikapiga simu, wakaniambia niende kwenye interview kesho yake pale Chang'ombe Junction saa 12 asubuhi na niwe smart sana, wakaniasa.
Kesho yake, kama kawaida, nikaenda kutimba pale Chang'ombe. Nikampigia jamaa...
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM)
Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito?
Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40.
Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
CHUDAI na WATAA ni maneno yanashika kasi sana kwenye pages mbalimbali za social media
Nimekutana nayo sana huko mjini X nimeyaona tena usiku huu
Hebu tusioyajua tueleweshwe tuache kupretend tunajua
Yana maana gani hayo maneno?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.