Hii mambo ya kupiga picha makaburi na kujirekodi tukiwa misibani naona haijakaa sawa. Siku hizi ni kama watu wanaenda kwenye fashion show sio kuzika tena
Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya.
Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
Salam wadau,
Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!
Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi...
Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube 👈Kijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa...
Katika haya maisha kuna vitu huwa tunajiapiza hatuwezi kuvifanya kwasababu tunahisi sio hadhi zetu au vinatutia kinyaa lakini baadae tunabadili msimamo.
Baada ya kumaliza degree nilijiapiza sitakuja kufanya kazi zisizo za ofisini, msoto ulinisugua bila mafuta, njaa inauma, nilianza kusaka...
Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online:
-Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall
-Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela
-Mtu anaeniuliza taarifa zangu binafsi, nablock
-Naangalia kama taarifa zake ziko kwenye mitandao mingine ya...
Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana,
Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani...
Habari wa wataalamu wa miamba kuna eneo lina dalili ambazo hazieleweki, naomba kwa mjuzi anae jua, sehemu inayoonyesha kuna dalili za kuchimbwa mafuta kunakuwaga na ishara gani?
Salamu Wakuu, Habari za weekend.
Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo.
Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto...
Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.