Hivi vitoto mda mwengine vinakasirisha sana.ukimueleza unatakiwa kupitia hivi basi analeta uchuo uchuo wake unatamani kukazapa vibao.
Vijana wengi waliopo vyuo ndoto zao wanaamini kuajiliwa serikalini ila sio ajira zote zinatoka serikalini.
Vikiwa chuo vinajiona vimetoboa maisha na kutucheka...
Hawa wawili wako real, wanaeleweka misimamo yao kitambo tu na wanaisimamia na wanaujua uhalisia mwingi wa hali halisi ya watanzania. Sijapata kumuona Msukuma akiwa kigeugeu; anaipigania bangi hadi leo. Sijapata kumuona Lusinde kigeugeu kwa viongozi wake.
Nikimuangalia bashiru, naona ni mtu...
Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu.
Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
Katika kuhakikisha wanafunzi wa elimu ya juu wanatimiza ndoto zao Serikali ya Rais Samia Suluhu imekuja na Suluhu.
Rais Samia Suluhu ameidhinisha nyongeza ya TZS bilioni 84 kwa wanafunzi 42,000 waliokuwa na changamoto ya mikopo ya elimu ya juu, nchi nzima. Wanafunzi waliokusudiwa awali walikuwa...
Hivi kwa huu utaratibu wa vyuo vingi tulivyo navyo hapa nchini tunatarajia hawa wasomi wetu watatutoa kweli. Vyuo vingi vinatoa wahitimu wengi lakini ambao wanakosa sifa za kiusomi kwa sababu nyingi.
Na hizi ndizo nilizobaini kwanza uwezo mdogo wa hao wanachuo wenyewe katika mazingira ya...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa viwango vya mikopo kulingana na uhitaji wao.
Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB...
Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa.
Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni?
Serikali...
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Habari za muda huu wana Jf .
Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi.
Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo.
Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
Ni barua inayozunguka mitandaoni. Hapa JF pia tuna thrd inayokosoa utaratibu wa kuwa na Samia sholarship.
Nionavyo, hii ni nyongeza ya kutorithishwa na maamuzi ya waziri/wizara.
Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
ELIMU YA JUU TANZANIA
Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa mafanikio ikiwa na maana ya kuwa ni wajibu wa kila mtu kuipata bila kuzingatia hali ya Maisha, jinsia...
Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private).
Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO.
UTANGULIZI;
Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo. Wahadhiri wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda uliowekwa wa masomo na hivyo kupelekea malimbikizi...
VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA
Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi
Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa...
Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri.
Wahitimu wa elimu ya juu...
Na Shafii Hamisi Athumani
Safari ya elimu imekuwa ikianza kwa matumaini makubwa ya mwanafunzi kuanza shule kwa furaha na kuhitaji kufikia malengo makubwa hapo baadae akiungwa mkono na kila mtu kwenye jamii na taifa lake haswa familia kwa hali na mali inakuwa ni tegemeo kubwa, hii inatoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.