diamond

  1. Manfried

    Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  2. Kichuguu

    TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  3. Nifah

    Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

    Hatimaye! Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana...
  4. Waufukweni

    Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB

    Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo. Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond Kupitia...
  5. Mindyou

    Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

    Wakuu, Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini? Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho. Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu. Ni aibu kubwa sana...
  6. M

    Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

    Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena. Hivyo, kwenye makongamani ya vijana diamond ataalikwa kama mtumbuizaji, na si kama Kijana wa...
  7. Waufukweni

    Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  8. tpaul

    Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
  9. Waufukweni

    Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  10. sinza pazuri

    Zuchu unatakiwa kufahamu, ukiingia kwenye mahusiano na Diamond umeingia kwenye vita

    Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu. Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani. Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond. Umegombana na wadada wa mjini na...
  11. errymars

    Diamond Platnumz Teases Exciting Remix of "Holiday" Featuring Rick Ross

    Tanzanian Bongo Flava superstar Diamond Platnumz has fans buzzing with anticipation following the announcement of a remix for his hit song "Holiday," featuring American rapper Rick Ross. The collaboration is expected to fuse Diamond's signature Afrobeat sound with Rick Ross's distinctive hip-hop...
  12. sinza pazuri

    Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  13. ThisisDenis

    Battle Diamond vs Will Paul

    Hivi Kenya will paul ana Alburm ngapi ?
  14. G

    Diamond Platnumz na Nandy Wazoa Bilioni 3 huko Mombasa kwenye harusi ya Zakir, Mwana wa Bilionea Imran Kholsa. Rais wa Kenya Miongoni mwa Wageni

    Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
  15. Dede 01

    Diamond Platnumz kulipwa BIL 2.3 kutumbuiza katika harusi ya kifahari Mombasa Kenya

    Habari wakuu. Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo. Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto...
  16. Petro E. Mselewa

    Tuzo za CAF 2024: Kwanini Diamond Platnumz hakushangiliwa hata na mtu mmoja alipotumbuiza?

    Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza. Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini? Yawezekana ni kwakuwa...
  17. Waufukweni

    Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco

    Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024 Hafla hiyo ya kifahari...
Back
Top Bottom