unakumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUKANA UONE

    Unakumbuka nini kuanzia Mwaka 1998 hadi 2000?

    Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania. Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa takribani mwaka mzima bila kupumzika,nikaona huu ni muda muafaka wa kuipumzisha akili! Hivi sasa...
  2. JanguKamaJangu

    Unakumbuka nini kuhusu Wimbo wa TATHMINI wa Profesa Jay na Jay Moe?

    [Verse 1 – Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi Rap si...
  3. Nehemia Kilave

    Unakumbuka na kujifunza nini ukipitia Upya hii LIST OF SHAME ya Mwembeyanga baada ya miaka 17?

    VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO (KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo . http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110 KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Hivi unakumbuka kwanini P Funk aliwahi mchapa vibao Afande Sele?

    VISA na MIKASA SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE… Turudi nyuma kidogo, Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema miezi kama miwili nyuma ya siku hiyo ya tukio alikuwa na Sele, alimpatia wimbo mmoja na sele akaahidi...
  5. Pdidy

    Wasabato Masalia watimuliwa tena uwanja wa ndege, polisi watoa onyo la mwisho

    Baadhi ya waumini Wasabato, wanaojitambulisha kama 'Masalia' baada ya kutimuliwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambako wamekuwa wakipiga kambi kwa imani ya kunyakuliwa hadi Ulaya bila pasipoti, tiketi, visa na taratibu zingine za usafiri wa kimataifa. Na Furaha Kijingo...
  6. THE FIRST BORN

    Kuwa Msemaji Simba ni kazi kweli unajihami, ghafla unakumbuka huna uwezo unaanza kuomba support

    Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni.. Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
  7. Makamura

    Unakumbuka Mchezo gani ukiwa Mtoto?

    Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati. Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba mbele na mti inakata hadi kona, na kukata malapa (Kanda Mbili) kama matairi Kingine bhana Niliwahi...
  8. buzitata

    Je, unakumbuka penzi lako la mbali liliishia wapi?

    Habarini Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona lakini ukawa na upendo naye sawa na unaishia naye jirani. Nakumbuka wakat fb,bbm,na Whatsapp...
  9. P

    Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  10. Mjanja M1

    Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

    Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia. Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?
  11. BARD AI

    Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

    Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa CHADEMA, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano hakuna kilichosaidia kung’amua ni katika mazingira gani mwanasiasa huyo kijana alipotea na yuko...
  12. L

    Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

    Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi...
  13. benzemah

    Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

    Wanajamvi. Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa. Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
  14. Boss la DP World

    Unapokwenda kuomba mkopo bank unakumbuka kusoma vigezo na masharti?

    Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote. Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
  15. 6 Pack

    Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
  16. Teko Modise

    Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

    haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
  17. Suley2019

    Ukisika maneno haya unakumbuka wapi?

    Salaam Ndugu zangu? Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu. Je maneno haya umeshawahi kuyasikia Ngawira Ndarama Fagilia Shangingi Chekibobu Utajiju Utaji JJ Unakumbuka wapi au mwaka gani? Maneno gani mengine unayakumbuka?
  18. Mohammed wa 5

    Je Unakumbuka Nini?

    Nilikuwa fundi Sana wakutengeneza box kwenye Shati la shule
  19. BARD AI

    Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
  20. JanguKamaJangu

    Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

    Wahu, yule mke wa Nameless ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi,2023 unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?
Back
Top Bottom